TFF iwafungie wachezaji wa Tabora Fc kujihusisha na soka ngumi haziruhusiwi uwanjani

TFF iwafungie wachezaji wa Tabora Fc kujihusisha na soka ngumi haziruhusiwi uwanjani

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920

Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city

Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi,

Hii timu tangu msimu unaanza mechi ya kwanza iliingiza wachezaji 8 uwanjani

Hii timu ipigeni kufuri haitakiwi kubaki kwenye ligi yetu
 
Eeh, Walitaka Kumpiga au Walimpiga migumi ...embu fafanua!

Kama ikiwa Walithubutu kurusha ngumi... Hata Kama hizo ngumi hazijampata nami nasema Wapewe Adhabu KALI ili iwe fundisho Kwa Wengine...

Mpira ni Burudani...!
Mpira ni Furaha....!
Mpira ni Urafiki.......!
Mpira ni Upendo...!

Hapa ndo pa Kuonyesha kuwa TFF na bodi ya Ligi mpo.! Sisi Wadau tumechukizwa sana na Kitendo hicho... tunaomba mfanye Kitu
 
Umeangalia mechi kwanza?

Refa hakuwa anajiamini kwenye maamuzi.

Tabora kuleta vurugu walikosea sana
 
Na hata hiyo penalt ilitakiwa irudiwe kwanza kipa alitoka kwenye mstari na pili mchezaji mmoja wa biashara aliingia ndani ya 18 kkabla tuta halijapigwa
 
Refa hakuwa akijiamini wakati anachezesha, pia asingetoa penalty dakika zile za mwisho ingekua poa zaidi. Sababu rafu yenyewe ilikua 50 50.
Mwisho washika vibendera nao hawakujiandaa vyema wakamuacha refa afanye maamuzi yake peke yake.
Mfano ile goli tata la penalty lilivyoingia busara ni refarii ili mpasa akaongee na ma risemen wake ajiridhishe kabla ya kuamua ni goli ama la.
Lakini yeye aliamuru kua ni kona na baadae kubadilisha maamuzi kua ni goli, hali iliyoleta sitofahamu.
 
Umeangalia mechi kwanza?

Refa hakuwa anajiamini kwenye maamuzi.

Tabora kuleta vurugu walikosea sana
Walikuwa wanafanya sana fujo alafu walikuwa wanawasukuma wachezaji wa biashara united mpaka mmoja akapigwa kadi nyekundu mwingine akampinga ngumi dogo wa biashara united,

Hiyo timu haitakiwi kuwa PREMIER LEAGUE warudi gizani huko wanaaibisha ligi yetu inayorushwa live afrika mashariki yote
 
Tabora united watapigwa nje ndani....wajiandae kisaikolojia
 
Lisingekuwa goli penalty ingerudiwa
Labda kama mchezaji wa Tavora ndio angekua kafanya kosa lakuingia Ndani ya 18bwakati penalt haijapigwa, tungesema Advantage. Ila ile ina sifa zote za kurudiwa.
 
Refa hakuwa akijiamini wakati anachezesha, pia asingetoa penalty dakika zile za mwisho ingekua poa zaidi. Sababu rafu yenyewe ilikua 50 50.
Mwisho washika vibendera nao hawakujiandaa vyema wakamuacha refa afanye maamuzi yake peke yake.
Mfano ile goli tata la penalty lilivyoingia busara ni refarii ili mpasa akaongee na ma risemen wake ajiridhishe kabla ya kuamua ni goli ama la.
Lakini yeye aliamuru kua ni kona na baadae kubadilisha maamuzi kua ni goli, hali iliyoleta sitofahamu.
Refa kafanya kila kitu sahihi ila wachezaji wa tabora walimuonea refa kwa kumzonga bila sababu kwa sababu ni meanamke ,marefa wa Tanzania wazembe ,refa alipaswa kuongea na kadi kwa kila aliyemkaribia ukiwapiga red watatu akili itakaa sawa wakipigwa 6-0,penalt ni penalt tu,dk ya kwanza au ya mwisho unamshika kiuno mtu apige vipi mpira?
 
Refa hakuwa akijiamini wakati anachezesha, pia asingetoa penalty dakika zile za mwisho ingekua poa zaidi. Sababu rafu yenyewe ilikua 50 50.
Mwisho washika vibendera nao hawakujiandaa vyema wakamuacha refa afanye maamuzi yake peke yake.
Mfano ile goli tata la penalty lilivyoingia busara ni refarii ili mpasa akaongee na ma risemen wake ajiridhishe kabla ya kuamua ni goli ama la.
Lakini yeye aliamuru kua ni kona na baadae kubadilisha maamuzi kua ni goli, hali iliyoleta sitofahamu.
Linesman
 
Kwangu mi Nampa Amina Kyando u refa Bora wa msimu huu kupitia hii mechi maana wao ndio walikuwa wanajitahidi sana kumtoa mchezoni hasa Tabora
Kwanza walianza kwa kupoteza mda makusudi Kila wakati wanalala chini
Pili wanafanya fujo kwenye benchi la ufundi hadi mpira unasimama
Wakifanya foul wanaikataa hadi dk 3 ziishe ndio itapigwa wao wakifanyiwa napo hivyo hivyo wao wataenda kwa refa kumjengea hofu hadi dk 3 ziishe
Penalty beki alianza kupanda juu ya Wagana kaja tena kamkumbatia refa afanyeje zaidi ya tuta
Wakati wa kupiga refa kaongea na wachezaji zaidi ya dk 4 waende nje ya 18 hawataki utafanyaje na mda unaenda Giza linakaribia
Mda wa kupiga refa ana concentrate na Kipa na mpigaji asingeanza kumuangalia Wagana anaeingia kabla ya mpira
Line two anaonesha ni Kona na refa alishasema kati refa anaamua kufata maamuzi ya line two
Yule jamaa mwenye mabaka wa biashara ka play part sana goli kukubaliwa maana ndie alieona linaingia na Kipa wa Tabora alikubali kuwa ni goli maana baada ya mkwaju alishika kichwa alipoona Kuna nafasi ya kunusurika ndio akaanza fujo ila ilikuwa too late
90%ya wanaume wangechezesha Ile mechi wangeshindwa Amina Kyando kwangu ndio best referee kwa msimu huu🙌
 
Back
Top Bottom