OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city
Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi,
Hii timu tangu msimu unaanza mechi ya kwanza iliingiza wachezaji 8 uwanjani
Hii timu ipigeni kufuri haitakiwi kubaki kwenye ligi yetu