OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Lisingekuwa goli penalty ingerudiwaNa hata hiyo penalt ilitakiwa irudiwe kwanza kipa alitoka kwenye mstari na pili mchezaji mmoja wa biashara aliingia ndani ya 18 kkabla tuta halijapigwa
Kwa tension iliyokuwepo ndani na nje ya uwanja, isingekuwa hekima kuirudia ile penalti mkuu.Na hata hiyo penalt ilitakiwa irudiwe kwanza kipa alitoka kwenye mstari na pili mchezaji mmoja wa biashara aliingia ndani ya 18 kkabla tuta halijapigwa
Duh bado mnataka avae medali.,[emoji23][emoji23]Feisal aligomea kupokea na kuvaa medali mpaka leo wanamuangalia tu, hawa jamaa janja janja sana.
Waliifanyia niniLaana ya kuifanyia dhulma timu ya pamba msimu uliopita. Sasa waelewe kuwa dhulma sio nzuri
Walikuwa wanafanya sana fujo alafu walikuwa wanawasukuma wachezaji wa biashara united mpaka mmoja akapigwa kadi nyekundu mwingine akampinga ngumi dogo wa biashara united,Umeangalia mechi kwanza?
Refa hakuwa anajiamini kwenye maamuzi.
Tabora kuleta vurugu walikosea sana
Tena kwa wakurya kabisa wqkiwa wamejaa uwanja mzimaKwa tension iliyokuwepo ndani na nje ya uwanja, isingekuwa hekima kuirudia ile penalti mkuu.
Labda kama mchezaji wa Tavora ndio angekua kafanya kosa lakuingia Ndani ya 18bwakati penalt haijapigwa, tungesema Advantage. Ila ile ina sifa zote za kurudiwa.Lisingekuwa goli penalty ingerudiwa
Refa kafanya kila kitu sahihi ila wachezaji wa tabora walimuonea refa kwa kumzonga bila sababu kwa sababu ni meanamke ,marefa wa Tanzania wazembe ,refa alipaswa kuongea na kadi kwa kila aliyemkaribia ukiwapiga red watatu akili itakaa sawa wakipigwa 6-0,penalt ni penalt tu,dk ya kwanza au ya mwisho unamshika kiuno mtu apige vipi mpira?Refa hakuwa akijiamini wakati anachezesha, pia asingetoa penalty dakika zile za mwisho ingekua poa zaidi. Sababu rafu yenyewe ilikua 50 50.
Mwisho washika vibendera nao hawakujiandaa vyema wakamuacha refa afanye maamuzi yake peke yake.
Mfano ile goli tata la penalty lilivyoingia busara ni refarii ili mpasa akaongee na ma risemen wake ajiridhishe kabla ya kuamua ni goli ama la.
Lakini yeye aliamuru kua ni kona na baadae kubadilisha maamuzi kua ni goli, hali iliyoleta sitofahamu.
LinesmanRefa hakuwa akijiamini wakati anachezesha, pia asingetoa penalty dakika zile za mwisho ingekua poa zaidi. Sababu rafu yenyewe ilikua 50 50.
Mwisho washika vibendera nao hawakujiandaa vyema wakamuacha refa afanye maamuzi yake peke yake.
Mfano ile goli tata la penalty lilivyoingia busara ni refarii ili mpasa akaongee na ma risemen wake ajiridhishe kabla ya kuamua ni goli ama la.
Lakini yeye aliamuru kua ni kona na baadae kubadilisha maamuzi kua ni goli, hali iliyoleta sitofahamu.