TFF iwafungie wachezaji wa Tabora Fc kujihusisha na soka ngumi haziruhusiwi uwanjani

TFF iwafungie wachezaji wa Tabora Fc kujihusisha na soka ngumi haziruhusiwi uwanjani

Kwangu mi Nampa Amina Kyando u refa Bora wa msimu huu kupitia hii mechi maana wao ndio walikuwa wanajitahidi sana kumtoa mchezoni hasa Tabora
Kwanza walianza kwa kupoteza mda makusudi Kila wakati wanalala chini
Pili wanafanya fujo kwenye benchi la ufundi hadi mpira unasimama
Wakifanya foul wanaikataa hadi dk 3 ziishe ndio itapigwa wao wakifanyiwa napo hivyo hivyo wao wataenda kwa refa kumjengea hofu hadi dk 3 ziishe
Penalty beki alianza kupanda juu ya Wagana kaja tena kamkumbatia refa afanyeje zaidi ya tuta
Wakati wa kupiga refa kaongea na wachezaji zaidi ya dk 4 waende nje hawataki utafanyaje na mda unaenda Giza linakaribia
Mda wa kupiga refa ana concentrate na Kipa na mpigaji asingeanza kumuangalia Wagana anaeingia kabla ya mpira
Line two anaonesha ni Kona na refa alishasema kati refa anaamua kufata maamuzi ya line two
Yule jamaa mwenye mabaka wa biashara ka play part sana goli kukubaliwa maana ndie alieona linaingia na Kipa wa Tabora alikubali kuwa ni goli maana baada ya mkwaju alishika kichwa alipoona Kuna nafasi ya kunusurika ndio akaanza fujo ila ilikuwa too late
90%ya wanaume wangechezesha Ile mechi wangeshindwa Amina Kyando kwangu ndio best referee kwa msimu huu🙌
Huyu mama alikaza sana ,kajitahidi mno apewe hata derby anaweza
 
Back
Top Bottom