white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Wewe ndio hujui hata unachokisema kwani ITC, ikiombwa, ni lazima huyo mchezaji acheze muda huo huo, wakati dirisha la usajiri la muda huo limeshafungwa??Wao tff walilidhia kumuombea hiyo kwani mwezi wa tisa kuanzia tarehe 15, si kuna dirisha dogo la usajiri?na ndilo Yanga wanatakiwa kulitumia.Wewe mpumbavu unajua ITC inaombwa na chama cha soka nchi husika,kwanini tff waliridhia kumuombea ITC kisinda kutoka berkane then leo wageuke,na ikiwa kambole hajapeleka malalamiko yoyote tff?
Kuhusu kambole sio suala la eti hajalalamika, kanuni zipo wazi, yaani kuwe na upenyo mnatuma jina la mchezaji kuwa mmemsajiri baada ya siku mbili mnapata mwingine yule mnamkata, utaratibu wa wapi huo?!!tatizo la viongozi wa yanga ni mbumbumbu tu, kwani walishindwa nini kumuuza/kumpeleka kwa mkopo huyo kambole ili wamuingize huyo kisinda?!!