TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

Wataje kwa majina, usiseme huyu na huyu. Mbona Tuisila anatajwa kwa jina, hao au huyo anayekatwa kwa nini hatajwi? Na umejiuliza ni kwa nini haya madai hayatolewi na uongozi wa Yanga, ila yanatolewa na Manara?
Manara ndio Yanga mwenyewe

Hadi Raisi wa club anasikiliza alichosema Manara ndio utekelezaji unafuata
 
Kama chama cha soka cha nchi husika kinaruhusu ligi yake iwe na wachezaji 12, na CAF inaruhusu wawe 40, ni jukumu la klabu kutaja nani awemo kwenye ligi ya ndani na ya CAF, na nani awemo kwenye ligi ya CAF tu. Ukipeleka majina bila kutaja huo mchanganuo, TFF itakata kwenye mstari wake
Wabongo mnajifanya wajuaji sana, unadhani Yanga ni wajinga kupeleka majina bila kuainisha wepi ni wa ligi ya wandani na wepi ni ligi ya nje.

Taarifa ya Kisinda ilitumwa kwa barua ya maelezo
 
Yanga ilishamtoa kambole,hivi unajua kisinda ni hao tff wamemuombea ITC na ashapata,kuna sbb ambayo tff jana ndio wameamua kuikomoa Yanga kwenye hili suala na siwezi kuziweka hapa,lakini kabla ya hapo walikua bega kwa bega maana Yanga wako sahihi
TFF walielezwa kabisa kuwa KAMBOLE ana majeruhi ya muda mrefu hivyo jina lake linatoka linaingia la KISINDA
Weka ushahidi huo,msilete porojo za kipumbavu za Haji Manara yule ameshachanganyikiwa na pombe na shisha.
 
haiwezekani wapeleke jina la mtu wa 13 bila kumtaja wanaetk kumtoa wakati kanuni iko waz kuwa ni wachezaji 12, swala ni kuwa issue hii ilitokea kwa simba na baada ya hapo TFF ikaona ilikuwa haina maana na hakuitkn tena ndio maana sasa hivi wameclose hio loophole, ni km mechi ya simba na kagera ilipoahirishwa halafu mtibwa wakagomewa so msimu huu bodi ya ligi ikaja na kanuni ambayo swala lile haliwez kuwa tata tena km likitokea, yanga walitk watumie loophole walioitumia simba kwa chikwende but wamekataliwa
Kanuni ilitugwa lini?
 
Muda unaoutumia kuwaelewesha hao jamaa ni vema ukautumia kumfundisha ng'ombe kukokotoa hesabu atakuelewa mapema kuliko hao jamaa.
Kwanza ni wagumu wa kuelewa halafu wepesi wa kusahau.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kuwaelemisha majuha wa Utopolo ni sawa na
 
Attachments

  • JamiiForums192108216.jpeg
    JamiiForums192108216.jpeg
    46.7 KB · Views: 2
hakuna official statement kutoka yanga, ht ww huwez kuonesha uongozi wa yanga uliposema kuwa ilipeleka jina la 13 bila kutaka kutoa jina moja, km ipo onyesha
Kupitia official statement ya TFF tunathibitisha kuwa Yanga ilipeleka majina 13
 
Sasa kama uongozi wa Yanga haukuwahi kusema kwamba ulipeleka jina la Tuisila, wewe unaishutumu TFF kwa misingi ipi?
Unaongea nini? Kwani jina linapelekwa au linatumwa kwenye mfumo?
 
Malalamiko FC kwani mmeanza leo malalamiko yenuuu. Kila mwaka nyie ni malalamiko tuuu TFF this TFF that..
 
Kwa uelewa wangu mdogo, ligi yetu inahitaji wachezaji 12 wa kigeni ambao hao ndo watakaoiwakilisha timu katika mashindano yote ya ndani na ya nje. Tukija kwenye sakata la kahata na chikwende ni kwamba simba haikuzidisha idadi ya wachezaji wa kigeni kwa sababu kwa ligi ya ndani na mashindano ya nje walikuwa nao 12 wale wale, ila utofauti ulikuwa ni kwa ligi ya ndani mchezaji wa 12 alikuwa chikwende ambapo ingetokea akacheza mashindano ya nje timu ingeadhibiwa kwa kuchezesha mamluki hivyo hivyo kwa kahata ambae angetokea akacheza ligi basi timu ingekatwa point
Kipindi kile ilikuwa ni 10 ila 2021

Kipindi kile ilikuwa ni wachezaji 10 baaada ya chikwende kuja dirisha dogo wakawa 11 ikabidi kahata ahamishiwe kimataifa tu sababu 2020 caf walitoa hiyo loophole kutokana na mzigo wa covid akaungana na peter muduhwa na jr lokosa kwa ajili ya michezo ya caf,hiyo loophole ishaondolewa na caf kwa kumuogopa kisinda
 
Tulichelewa kwa kanuni ipi? Huwezi ukafunga durisha la kutoa leseni kabla ya kufunga dirisha la usajili!
Caf inaruhusu wachezaji 40 lkn hao wachezaji ni lazima wawe na leseni ya shirikisho husika. Sasa hapa kwetu tff hawatoi leseni kwa wachezaji wakigeni zaidi ya 12 kwa tim moja. Maana yake ni kwamba simba inaruhusiwa na caf kupeleka wachezaji 40 bila kujali mataifa yao lkn kwanza ni lazima wasajiliwe na wapewe leseni ya tff ndipo wapewe leseni ya caf. Kama simba itakuwa na wachezaji 13 wa kigeni na 27 wa ndani jumla 40 ina maana kwa kanuni za tff mchezaji mmoja wa kigeni kati ya hao 13 hatopewa leseni na tff na hivyo hatopata leseni ya caf! Kwa jumla ya wataopata leseni za tff ni 39 na ndio watakaopata leseni za caf mmoja atakosa ambaye ni wa kigeni. Na atakosa licha ya ukweli kwamba timu haijazidi kiwango cha wachezaji wanaoruhusiwa na caf (40)

Issue ilivyo kwa yanga. Inasemeka yanga walitoa maelekezo kwa tff wakate jina la kambole waweke jina la kisinda. Tatizo ni kwamba tff walikuwa washatunza usajili wa kambole kwa hiyo kambole ndio mwenye leseni ya tff na ndie atayepata leseni ya caf. Kisinda mlichelewa
 
Weka ushahidi huo,msilete porojo za kipumbavu za Haji Manara yule ameshachanganyikiwa na pombe na shisha.
Wewe mpumbavu unajua ITC inaombwa na chama cha soka nchi husika,kwanini tff waliridhia kumuombea ITC kisinda kutoka berkane then leo wageuke,na ikiwa kambole hajapeleka malalamiko yoyote tff?
 
TFF walielezwa kabisa kuwa KAMBOLE ana majeruhi ya muda mrefu hivyo jina lake linatoka linaingia la KISINDA
Mchezaji kuwa majeruhi sio kigezo cha kutojihusisha na Club, prolly ilipaswa avunjiwe mkataba au auzwe.

Sheria za huruma huzipati sehemu yeyote ile duniani
 
Acha kujadili watu jadili Hoja Mkuu!
Watu ndo waleta hoja. Ukiwakwepa watu na akili zao huwezi kupata jawabu. Ndo maana ukifanya jambo la kustaajabisha unaenda kupimwa akili kwanza, Yanga akili zenu hazifai kujadili hoja bora aje Sunday manara au JK. Kichaa hata ukinyoosha mkono ulete hoja ya maana watu wenye akili wataignore kukupa nafasi.
 
Wewe mpumbavu unajua ITC inaombwa na chama cha soka nchi husika,kwanini tff waliridhia kumuombea ITC kisinda kutoka berkane then leo wageuke,na ikiwa kambole hajapeleka malalamiko yoyote tff?
Wenye akili yanga ni sunday manara na JK tu. Hii point ni ya mr. hamnazo, tupe ushahidi tff wakiridhia?
 
Back
Top Bottom