Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Manara ndio Yanga mwenyeweWataje kwa majina, usiseme huyu na huyu. Mbona Tuisila anatajwa kwa jina, hao au huyo anayekatwa kwa nini hatajwi? Na umejiuliza ni kwa nini haya madai hayatolewi na uongozi wa Yanga, ila yanatolewa na Manara?
Hadi Raisi wa club anasikiliza alichosema Manara ndio utekelezaji unafuata