TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?

FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi.

FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 kabla ya kutoa tathmini yake na maamuzi.
1750151452913.png
 
Acheni kuhangaika andaeni timu kwaajili ya tarehe 25/6/2025.

Mlisema Yanga inamuogopa Mpanzu Sasa ni wakati wenu kutuonyesha ni kwa namna gani Mpanzu ni tishio.

Ayo mambo ya FIFA muwe mna danganyana uko u mbumbumbu ni.
Barua ya FIFA itayokuja Tanzania ni ya kumpongeza Rais wa Tff atakaye chaguliwa baada ya uchaguzi mkuu wa TFF mengine ni porojo tu.
 
Mpaka saizi ni waandishi wawili walioripoti hiyo habari

Ngoja tuone kama ni propaganda ni ukweli.

Kama ni ukweli basi kuna hatari kubwa naiona.

We're in abyss
 
Back
Top Bottom