Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,556
- 7,398
Wafunge tu, unajua SERIKALI, TFF, SIMBA& YANGA wamesababisha hasara mara ngapi kwa sisi mashabiki wa mpira?Alafu tukifungiwa wewe utakua umefaidika nini au unadhhani unamkomoa nani?.Maana hao wa ikulu unaowachukia wao wataendelea na maisha yao kama kawaida je vip kuhusu vijana na wachambuzi wanaopata ridhiki kupitia mpira?.Unadhani ni wananchi wangapi wakawaida kuanzia wa vibanda umiza hadi wauza karanga viwanjani wataathirika kwa hayo maamuzi.Mimi sijaona kisa la viongozi wakisiasa kwasababu lengo nikurekebisha wao kama walezi ila watu mnafikiri wao ndio waathirika.Waulizeni kenya walivyofungiwa hadi wanakuja kufunguliwa hali ilikuaje.