TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

Hata mimi napendekeza maana mpira umekuwa ndo kila kitu kila kitu mpira u awekwa mbele tunashindwa hata kuhoji mambo ya muhimu
Kwamba haiwezekani mtu kuhoji mambo muhimu na hapo hapo akawa anafuatilia burudani ya mpira?
 
Bora FIFA watufungie tu ...siasa zimetawala mpira mpaka upumbavu ..kanuni hazifuatwi kubebana ,mpira unaingiliwa mpaka na Rais wa nchi
 
Wakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?

FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi.

FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 kabla ya kutoa tathmini yake na maamuzi.
Waambie wasipoteze muda wao kuja kuchunguza mgogoro ambao chanzo chake kikuu ni Wallace Karia! mwanasiasa mpenda rushwa na sifa, mtu mwenye maneno ya shombo, mlezi wa simba, na kada wa ccm!
 
Bora tufungiwe maana Kila maamuzi yanatoka ikulu
Alafu tukifungiwa wewe utakua umefaidika nini au unadhhani unamkomoa nani?.Maana hao wa ikulu unaowachukia wao wataendelea na maisha yao kama kawaida je vip kuhusu vijana na wachambuzi wanaopata ridhiki kupitia mpira?.Unadhani ni wananchi wangapi wakawaida kuanzia wa vibanda umiza hadi wauza karanga viwanjani wataathirika kwa hayo maamuzi.Mimi sijaona kisa la viongozi wakisiasa kwasababu lengo nikurekebisha wao kama walezi ila watu mnafikiri wao ndio waathirika.Waulizeni kenya walivyofungiwa hadi wanakuja kufunguliwa hali ilikuaje.
 
Nimeliona gari la FIFA pale Buza kwa Mama Kibonge wale Maafisa wa FIFA walikua wakipata supu ya Pweza.

Moja wa Maafisa alihitaji kahawa na kashata bahati mbaya yule kijana mu uzaji wa kahahawa ni mwenyeji wa Kigoma alikua na kashata za karanga, Yule Mzungu afisa wa FIFA alikua anahitaji kashata za Nazi.

Baada ya kula na Kunywa wakaulizia zilipo ofisi za Tff tukawaelekeza.

Mashabiki wa Simba walifurahi wakiamini swala lao la kuto cheza derby litapata ufumbuzi.
Tulipo wauliza Wanatokea wapi wakadai wao ni Maafisa wa FIFA ya Bonyokwa Wanakwenda ku utibu mpira wetu😃😃
 
Wakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?

FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi.

FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 kabla ya kutoa tathmini yake na maamuzi.
Usisahau pia match fixing yanga anashinda dhidi ya prisons na prisons anashinda dhidi ya Singida
 
Usisahau pia match fixing yanga anashinda dhidi ya prisons na prisons anashinda dhidi ya Singida
Prison siku zote anafungwa na Yanga, Ni kama Simba anavyo fungwa na Yanga Sasa inakuwaje metch fixing!!!
 
Wakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?

FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi.

FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 kabla ya kutoa tathmini yake na maamuzi.
Naona makolo mnaumia sana. Hata tukifungiwa sawa tu,hatuwezi kukubali uzwaza uliofanyika kupitia kuhairishwa derby march 8,maamuzi mabovu ya waamuzi kama Jafeth Smart, Kefa Kayombo na wengine.
 
Back
Top Bottom