Naomba email address yaoNa hapo bado Tutazidi kuwatumia email fifa Kila siku mpaka tufungiwe
Ni hii Media@fifa.orgNaomba email address yao
Hii hapa Media@fifa.orgNaomba email address yao
Simba na yanga ndio akina nani hao? Watu wa Dar tunaomba ufafanuzi.
Ehe he he kizimkazi hoyeee
wapika supu ya mapupu maarufu huku mpiji magohe.Simba na yanga ndio akina nani hao? Watu wa Dar tunaomba ufafanuzi.
Mpaka saizi ni waandishi wawili walioripoti hiyo habariAcheni kuhangaika andaeni timu kwaajili ya tarehe 25/6/2025.
Mlisema Yanga inamuogopa Mpanzu Sasa ni wakati wenu kutuonyesha ni kwa namna gani Mpanzu ni tishio.
Ayo mambo ya FIFA muwe mna danganyana uko u mbumbumbu ni.
Barua ya FIFA itayokuja Tanzania ni ya kumpongeza Rais wa Tff atakaye chaguliwa baada ya uchaguzi mkuu wa TFF mengine ni porojo tu.
Taratibu broo tunatakiwa tuandae AFCON mwakaniNa hapo bado Tutazidi kuwatumia email fifa Kila siku mpaka tufungiwe
Lazima tufungiweTaratibu broo tunatakiwa tuandae AFCON mwakani