Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaKuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Kipigo kipo pale paleNa wakishindwa KMC wana haki ya kupeleka suala hili hadi FIFA.
Naunga mkono hojaKuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Hao KMC yenyewe ni timu ya serikali (timu ya masispaa ya Kinondoni)Na wakishindwa KMC wana haki ya kupeleka suala hili hadi FIFA.
Wewe umewazidi kidogoTFF na Azam TV ni wapumbavu kabisaaa
Nakazia
Na wakishindwa KMC wana haki ya kupeleka suala hili hadi FIFA.
Naunga mkono hoja
Bullshit
Bora hata ungealikwa weweVipi kama angealikwa Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa! Maana Watanzania kwa double standard tu, hatujambo.
Fifa hii hii walioruhusu Chelsea iwe na Hari ngumu kisa siasa? Urusi amefungiwa kisa masuala ya kisiasa kwahiyo TFF anaangalia anachofanya baba akeNa wakishindwa KMC wana haki ya kupeleka suala hili hadi FIFA.