Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifanyaje mkuu? Tukumbushe!Mbona mnateseka Makolo,kipindi cha Jiwe na wakina Ndugai wanaketa siasa mpirani mbona mlikaa kimya?
Mkuu ni kweli kabisa iv kwa mfano timu nyingine nazo zikiamua kufanya kama ilivyo fanya yanga leo ratiba za mpira zitaharibika,Wao wanabisha tuu, hii inaweza kuleta madhara kama italeta complaining baadae.
Hakuna timu inayoweza Fanya hivyo uo uliosema utabaki mfano tu. Yanga na KMC walipata baraka zote za Tff chini ya uangalizi wa serikali.Mkuu ni kweli kabisa iv kwa mfano timu nyingine nazo zikiamua kufanya kama ilivyo fanya yanga leo ratiba za mpira zitaharibika,
Ratiba ya muda wa kuanza gem ya leo haijafuatwa kwa sherehe binafsi ya timu fulan, iv na timu nyingine zikifanya ivyo zitachukuliwa hatua yoyote au itakuaje..
Duh! Kazi ipoYanga ni timu ya wananchi,
KMC ni timu ya serikali,
Samia ni Rais wa nchi,
Kikwete ni Rais mstaafu
Uwanja ni wa serikali
TFF ni taasis ya serikali
Wewe kidampa wa makolo unaumia nini?
Kama ndivyo mkuu bora wangesema gem itaanza saa moja na nusu kuliko kusema mchezo utaanza sa moja na tunashuhudia siasa za kumpromote mwanasiasa wengine hatuna interest na hayo mambo..Hakuna timu inayoweza Fanya hivyo uo uliosema utabaki mfano tu. Yanga na KMC walipata baraka zote za Tff chini ya uangalizi wa serikali.
Na haya mabango, mikutano ya siasa, mama kuvaliwa kifuani tutaazimisha kila mwaka?Kama we ni timu Mikia pole ndio mawazo yenu potofu, Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu
Sawa ila hio ilikua zamani, sasa FIFA hawataki kusukia ivo vituVijana wengi hamfahamu historia ya Yanga, Sababu kuu ya kuanzishwa Yanga, African sports kipindi Cha ukoloni ni watanganyika wakutane na kupanga mipango ya uhuru bila kustukiwa na wakoloni. Waasisi wengi wa TAA baadae TANU ni wanayanga. Yanga ni timu iliyo tumika kupambania uhuru. Yanga ni timu ya wananchi na wananchi ndio wanao Unda serikali. Kuitofautisha serikali na Yanga ni kutoifahamu historia.
Kwa hiyo?Vijana wengi hamfahamu historia ya Yanga, Sababu kuu ya kuanzishwa Yanga, African sports kipindi Cha ukoloni ni watanganyika wakutane na kupanga mipango ya uhuru bila kustukiwa na wakoloni. Waasisi wengi wa TAA baadae TANU ni wanayanga. Yanga ni timu iliyo tumika kupambania uhuru. Yanga ni timu ya wananchi na wananchi ndio wanao Unda serikali. Kuitofautisha serikali na Yanga ni kutoifahamu historia.
Sasa unaelewa kwa nini serikali ikiingilia maamuzi ya Football Association nchi inafungiwa?Hakuna timu inayoweza Fanya hivyo uo uliosema utabaki mfano tu. Yanga na KMC walipata baraka zote za Tff chini ya uangalizi wa serikali.
Wachezaji wanaingia uwanjani na kusimamishwa dakika 17 kusikiliza hotuba kabla ya kuanza mpira? Yaani wamecheza kipindi cha kwanza dakika 62+?Kama ndivyo mkuu bora wangesema gem itaanza saa moja na nusu kuliko kusema mchezo utaanza sa moja na tunashuhudia siasa za kumpromote mwanasiasa wengine hatuna interest na hayo mambo..
Mlivyomuitaga Magufuli alikuwa mwanamieleka SI ndio....Kuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Sema tu umeumia Yanga kushinda. .Mm Ni ccm ila nimekereka San na Hilo tukio la kipumbafu
Yanga wamesherehekea mwaka mmoja wa rais wa nchi sio kiongozi wa ccm, rangi za Yanga msifungamanishe na ccm, tupo wengine sisi ni mashabiki wa Yanga na hatuna mpango na ccm. Kwa hiyo mnamaanisha mashabiki wote wa makolo ni wapinzani?Mawazo ya kupinga ujinga uliotokea Mkapa ni mengi.
View attachment 2157576
Acha ujinga wako kama unaumia hamia Burundi mzeeWachezaji wanaingia uwanjani na kusimamishwa dakika 17 kusikiliza hotuba kabla ya kuanza mpira? Yaani wamecheza kipindi cha kwanza dakika 62+?