TFF Kuruhusu Siasa Michezoni ni Ushamba wa Hali ya Juu

TFF Kuruhusu Siasa Michezoni ni Ushamba wa Hali ya Juu

Mlivyomuitaga Magufuli alikuwa mwanamieleka SI ndio....
Kumuita Jk sio hoja kama ilivyokuwa kuitwa Magufuli. Nashindwa kuelewa mantiki ndogo hivi mnashindwa kuelewa.
Tatizo lipo kwenye kuingilia muda wa mchezo, yale ya Magu yaliruhusiwa baada ya mchezo kwisha hivyo sherehe hizo haziko ndani ya muda wa Kamisaa kutolea ripoti yake. Kanuni za FIFA muda wote wa mchezo mkuu wa yote ni Kamisaa, sasa wachezaji wako uwanjani JK anaingia kuhutubia dakika 17 hiyo sio sawa
 
Karipoti fifa ... Ukiona shida sana kunya nanasi
 
Watajiju, michezo ni furaha, taifa hili limepitia kipindi kigumu sana zama za kichaa mpya mwendachato! wacha tuchanganyike tufurahi kupitia michezo; kama hujui vilabu kubwa nchi hii, Yanga, Sunderland (Simba) za Dar, African sports na Coastal union za Tanga na African football club ya zanzibar vilianzishwa kwa malengo ya kisiasa! Wacha tufurahi jamani kupitia njia yoyote, Kichaa mpya Magufuli alitugawa sana na kuumiza taifa hili sana, mshamba, limbukeni yule! Asante Mungu kwa kazi kubwa na nzuri uliyotutendea! [emoji2]
Mdomo wako uwe nakiasi usipende kuropoka ropoka, usije ukajiingiza kwenye matatizo.
 
Back
Top Bottom