Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #61
Kumuita Jk sio hoja kama ilivyokuwa kuitwa Magufuli. Nashindwa kuelewa mantiki ndogo hivi mnashindwa kuelewa.Mlivyomuitaga Magufuli alikuwa mwanamieleka SI ndio....
Tatizo lipo kwenye kuingilia muda wa mchezo, yale ya Magu yaliruhusiwa baada ya mchezo kwisha hivyo sherehe hizo haziko ndani ya muda wa Kamisaa kutolea ripoti yake. Kanuni za FIFA muda wote wa mchezo mkuu wa yote ni Kamisaa, sasa wachezaji wako uwanjani JK anaingia kuhutubia dakika 17 hiyo sio sawa