TFF Kuruhusu Siasa Michezoni ni Ushamba wa Hali ya Juu

Vijana wengi hamfahamu historia ya Yanga, Sababu kuu ya kuanzishwa Yanga, African sports kipindi Cha ukoloni ni watanganyika wakutane na kupanga mipango ya uhuru bila kustukiwa na wakoloni. Waasisi wengi wa TAA baadae TANU ni wanayanga. Yanga ni timu iliyo tumika kupambania uhuru. Yanga ni timu ya wananchi na wananchi ndio wanao Unda serikali. Kuitofautisha serikali na Yanga ni kutoifahamu historia.
 
Hata FIFA wameruhusu Siasa michezoni ndio sababu Abromovich anafamyiwa fitna kwny Team yake ya Chelsea kisa eti ana Urafiki na Vladmir au Timu za Taifa za Russia kuzuiwa kushiriki mashindano mbalinbali kisa Vladmir kavamia Ukraine
 
Wao wanabisha tuu, hii inaweza kuleta madhara kama italeta complaining baadae.
Mkuu ni kweli kabisa iv kwa mfano timu nyingine nazo zikiamua kufanya kama ilivyo fanya yanga leo ratiba za mpira zitaharibika,
Ratiba ya muda wa kuanza gem ya leo haijafuatwa kwa sherehe binafsi ya timu fulan, iv na timu nyingine zikifanya ivyo zitachukuliwa hatua yoyote au itakuaje..
 
Hakuna timu inayoweza Fanya hivyo uo uliosema utabaki mfano tu. Yanga na KMC walipata baraka zote za Tff chini ya uangalizi wa serikali.
 
Yanga ni timu ya wananchi,
KMC ni timu ya serikali,
Samia ni Rais wa nchi,
Kikwete ni Rais mstaafu
Uwanja ni wa serikali
TFF ni taasis ya serikali

Wewe kidampa wa makolo unaumia nini?
Duh! Kazi ipo
 
Hakuna timu inayoweza Fanya hivyo uo uliosema utabaki mfano tu. Yanga na KMC walipata baraka zote za Tff chini ya uangalizi wa serikali.
Kama ndivyo mkuu bora wangesema gem itaanza saa moja na nusu kuliko kusema mchezo utaanza sa moja na tunashuhudia siasa za kumpromote mwanasiasa wengine hatuna interest na hayo mambo..
 
Kama we ni timu Mikia pole ndio mawazo yenu potofu, Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu
Na haya mabango, mikutano ya siasa, mama kuvaliwa kifuani tutaazimisha kila mwaka?
 
Sawa ila hio ilikua zamani, sasa FIFA hawataki kusukia ivo vitu
 
Hili nitaliripoti fifa na caf wachukulie hatua yanga wapumbafuuu sanaaa
 
Mm Ni ccm ila nimekereka San na Hilo tukio la kipumbafu
 
Kwa hiyo?
 
Hakuna timu inayoweza Fanya hivyo uo uliosema utabaki mfano tu. Yanga na KMC walipata baraka zote za Tff chini ya uangalizi wa serikali.
Sasa unaelewa kwa nini serikali ikiingilia maamuzi ya Football Association nchi inafungiwa?
Msiwe na ushabiki wa kibwege, tunajadili kuiponya nchi.
 
Kama ndivyo mkuu bora wangesema gem itaanza saa moja na nusu kuliko kusema mchezo utaanza sa moja na tunashuhudia siasa za kumpromote mwanasiasa wengine hatuna interest na hayo mambo..
Wachezaji wanaingia uwanjani na kusimamishwa dakika 17 kusikiliza hotuba kabla ya kuanza mpira? Yaani wamecheza kipindi cha kwanza dakika 62+?
 
Mawazo ya kupinga ujinga uliotokea Mkapa ni mengi.
 
Kuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Mlivyomuitaga Magufuli alikuwa mwanamieleka SI ndio....
 
Mawazo ya kupinga ujinga uliotokea Mkapa ni mengi.
View attachment 2157576
Yanga wamesherehekea mwaka mmoja wa rais wa nchi sio kiongozi wa ccm, rangi za Yanga msifungamanishe na ccm, tupo wengine sisi ni mashabiki wa Yanga na hatuna mpango na ccm. Kwa hiyo mnamaanisha mashabiki wote wa makolo ni wapinzani?

Lile jambo la kitaifa sio la kichama msijifanye hamjui.
 
Wachezaji wanaingia uwanjani na kusimamishwa dakika 17 kusikiliza hotuba kabla ya kuanza mpira? Yaani wamecheza kipindi cha kwanza dakika 62+?
Acha ujinga wako kama unaumia hamia Burundi mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…