kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao.
Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni nini kinafuata kwa wale wote (kama wapo) waliohusika na kufanya mazungunzo na mchezaji na hadi kumpa fedha za kuvunjia mkataba mchezaji mwenye mkataba hai na Yanga. Au hii ya kuwaadhibu watu waliohusika na kadhia hii ni kesi nyingine?