Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je bado haziko tayari japokuwa AZAM TV walishatuonyesha ziko tayari? Au uwepo wake unahitaji utashi wa viongozi?