TFF kuwatia nguvuni washabiki wa Yanga watakaobeba mabango kuikashifu serikali kesho dhidi ya Ngaya

Basi kesho tunaomba manji alete gari zake zote wanaYanga+mimi wa Msimbazi tuwepo wote ili tuoshe magari ya Manji vizuri kwa raha mustarehe bila kumsahau Muzee MUZIMA MUTU MKUBWA MUTU YA WATU, MUTU MUNENE MUZEE 'GWAJIMA' asikose uwanjani akiambatana na ileile kwaya yake ya UFUFUO NA UZIMAAAA.

AKHSANTENI SANA.
 
KWATARIFA ZENU KESHO WANAYANGA WOTE TUTAINGIA NA STAILI MPYA YA KUSHANGILIA UWANJA MZIMA KESHO TUTAANZA KUIMBA PEOPLES POWER PEOPLES POWER MARUFUKU KWA MWANA YANGA KUIMBA CCM CCM KUANZIA SASA NI PEOPLES POWER
 
Basi waandike hivi
"YANGA NI KAMA JPM HAPA KAZI TU"

"NGAYA KARIBUNI KWENYE IMAYA YA WATUMBUAJI"
 
Hii ni ajabu kwa shirikisho la soka kuwachagulia wapenzi wa klab jinsi ya kushangilia timu yao
 
Tanzania nchi yangu nani kailoga? Badala ya uachie watu waseme ya moyoni na ujifunze kupitia kwao basi unawazuia wasiseme ili kwa namna moja au nyingine ujirekebishe. Duh Mungu wangu tanzania nchi yangu kuna mdudu gani yupo hapa tanzania? Maana kero nyingine bora uishi nchi za kivita kuliko tz
 
hii serikali mbna shauku nyingi wajiulize wanakosea wapi.watz tupo milion 45 tukaamua tumchague mzee wa twafaaaa,katelelo daahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…