TFF kuwatia nguvuni washabiki wa Yanga watakaobeba mabango kuikashifu serikali kesho dhidi ya Ngaya

Interegensia ya tffccm imebaini kutakuwa na mabango kesho,tffccm tulieni kesho watu wanyweshwe dawa,wakikusanyika vituo vya polisi wawekwe ndani na kwenye viwanja vya michezo wawekwe ndani,sasa hii nchi tunaenda wapi,Kamanda wa kanda maalumu andaa makarandinga kesho ya kusomba watu na keshokutwa magari taka kwa ajiri ya kusomba viti,yatakuwa maandalizi tosha ya "ULIPO TUPO",kama kweli tffccm mtakuwa mmetengeneza mazingira ya fujo na kujiandaa kufungiwa kwa michezo ya kimataifa.
 
Watanzania jaribuni kufuatilia mambo hizo ni regulations za FIFA unaeweza kugoogle
 
KWATARIFA ZENU KESHO WANAYANGA WOTE TUTAINGIA NA STAILI MPYA YA KUSHANGILIA UWANJA MZIMA KESHO TUTAANZA KUIMBA PEOPLES POWER PEOPLES POWER MARUFUKU KWA MWANA YANGA KUIMBA CCM CCM KUANZIA SASA NI PEOPLES POWER
Naunga mkono hoja
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]....you made my day
 
Reactions: 999
safi sana TFF kwa kutekeleza matakwa ya mabwana zenu
 
Mtu mzima kujishtukia ni aibu kubwa..sometime unakausha tuu hata kama umejamba mbele za watoto
 
Mkuu hapa kama umetupotosha sio mashabiki wa yanga ni mashabiki wote ambao watafanya hivyo
 
Jamal Malinzi ni MwanaCCM

Yusuf Manji ni MwanaCCM.


Nadir Haroub Cannavaro pia ni Kada wa CCM


Wanaogopa kupata aibu na kukoromewa na Mwenyekiti wao wa CCM Taifa!
 
"I wish i could be IGP"-kaka mkubwa.
[emoji23][emoji23] naona JWTZ linaweza likashushwa kukamata mabango tu maana siasa kila sehemu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…