Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tanzania ya vibanda.hapa ndio wanapoharibu, yani kila kitu siasa, siasa tu, halafu mnasema serikali ya viwanda, tusahau!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ya vibanda.hapa ndio wanapoharibu, yani kila kitu siasa, siasa tu, halafu mnasema serikali ya viwanda, tusahau!!
Thubutu...nimenunuaSi waseme tu kwamba hakuna kuingia na mabango yanayo muhusu mwenyekiti wao Manji?
Well doneThubutu...nimenunua![]()
![]()
Naunga mkono hojaKWATARIFA ZENU KESHO WANAYANGA WOTE TUTAINGIA NA STAILI MPYA YA KUSHANGILIA UWANJA MZIMA KESHO TUTAANZA KUIMBA PEOPLES POWER PEOPLES POWER MARUFUKU KWA MWANA YANGA KUIMBA CCM CCM KUANZIA SASA NI PEOPLES POWER
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]....you made my dayBasi kesho tunaomba manji alete gari zake zote wanaYanga+mimi wa Msimbazi tuwepo wote ili tuoshe magari ya Manji vizuri kwa raha mustarehe bila kumsahau Muzee MUZIMA MUTU MKUBWA MUTU YA WATU, MUTU MUNENE MUZEE 'GWAJIMA' asikose uwanjani akiambatana na ileile kwaya yake ya UFUFUO NA UZIMAAAA.
AKHSANTENI SANA.
Hahahaha![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]....you made my day
safi sana TFF kwa kutekeleza matakwa ya mabwana zenuShirikisho la soka Tanzania TFF, limesema litawatia nguvuni kwa mujibu wa sheria na taratibu mashabiki watakaoikashifu serikali ama uongozi wa shirikisho hilo kwa kuingia na mabango uwanjani yenye jumbe tofauti hapo kesho katika mchezo wa kimataifa wa klabu bingwa Afrika kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Ngaya ya nchini Comoro.
![]()
Mkuu hapa kama umetupotosha sio mashabiki wa yanga ni mashabiki wote ambao watafanya hivyoShirikisho la soka Tanzania TFF, limesema litawatia nguvuni kwa mujibu wa sheria na taratibu mashabiki watakaoikashifu serikali ama uongozi wa shirikisho hilo kwa kuingia na mabango uwanjani yenye jumbe tofauti hapo kesho katika mchezo wa kimataifa wa klabu bingwa Afrika kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Ngaya ya nchini Comoro.
![]()
[emoji1] [emoji2] [emoji3]"I wish i could be IGP"-kaka mkubwa.
[emoji23][emoji23] naona JWTZ linaweza likashushwa kukamata mabango tu maana siasa kila sehemu sasa.
Mkuu zinapatikana wapi hizo nami kesho nitinge na kuingia nao taifa?Thubutu...nimenunua![]()
![]()
Tutagawana mbichiTFF inahangaika nini na mateja FC..?