kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ligi yetu imekuwa sana, inavutia wachezaji wakubwa wa kimatifa kuja kucheza hapa. Wachezaji hawa wanaokuja kwetu wanategewa sana sio TU na club zilizowanunua bali hata na timu zao za mataifa wanatoka, sio jambo zuri hata kidogo kama wachezaji hawa wataumizwa kwa makusudi TU na wavuta bangi,
TFF kuweni wakali sana kwa wachezaji wanaocheza faulu za makusudi kuumiza wachezaji wengine na marefa ambao hawachukui hatua kwa wachezaji wakorofi kwakuwa ligi yetu Inafuatiliwa sana Kimataifa.
Sio jambo zuri na ni aibu kuona Tanzania hakuna mwamuzi hata mmoja aliyeshiriki kombe la dunia.