TFF: Malinzi jisafishe

TFF: Malinzi jisafishe

Sahau. Tulisema hapa huyu aliyebebwa na Akina Amos Makalla na kaka yake Dioniz hatataleta kitu kipya. Opportunist huyo.

QUOTE=Mmawia;12785506]Rais wa Tff Jamal Malinzi,watanzania tulio wengu tulikuwa na matumaini makubwa pale ulipochaguliwa kuongoza taasisi hii ya sok hapa nchini.

Lakini hali imeendelea kuwa dhoofu kila kukicha hakuna kinacho leta matumaini kupandisha kiwango cha soka, hapa nchini.

Binafsi nakujua kuwa wewe ni mwana michezo ila sasa naamini kuwa mganga hajigangi,baada ya soka la bongo kuendelea kudidimia kaburini hadi sasa tunafungwa na wale tuliokuwa tunawafunga magoli hata 10.

Tunajua hujachelewa pangua wasaidizi waliokuzunguka waliopo ki maslahi zaidi,weka watu wanaolifahamu soka wachana na undugunization ili tuijenge soka la Tanzania.[/QUOTE]
 
Kuna watu wanalijua soka balaa hapa tz; hv kwanini TFF hamuwachukui vijana wale kama washauri naamini mkiwatumia mtafaidika mfano hawa shafii dauda, edga kibwana, issa maeda. Hawa jamaa wanaujua mpira nyinyi TFF kama hamuwaoni shaurizenu.

mhhhh huu ushauri ni majanga mkuu...mbona wanachofanya hao watangazaji hata wewe unaweza maana wao ni post match analysts kama hujaelewa ni hivi hao ni wasimulizi wa mechi zilizochezwa...halafu wewe utakua edga kibwana mwenyewe
 
Back
Top Bottom