Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu.
Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao.
Hayo yote yakiendelea huku TFF ikikaa kimya il Hal inajua fika kwamba FIFA imepiga marufuku siasa kwenye Kandanda.
Leo na CHADEMA nao wameingia na bango la Mwenyekiti wa Taifa uwanjani kwa Mkapa tayari nasikia fununu kuwa taharuki imetokea ndani ya TFF.
Kama mliwakalia kimya CCM, Leo msipanik kuona CHADEMA wamekuja na bango la Mwenyekiti Mbowe uwanjani.
Hao hapo makanda wa CHADEMA na bango lao Leo hii kwa Mkapa.