TFF mmeruhusu siasa za CCM kwa Mkapa, leo msiwaonee CHADEMA

Kaka, mfumo utabadilika kama masikini wakionekana wanabadilika. Ht kama ni Mimi ndio karia lazima ningeungana na mama
 
Ni kawaida yetu kufanya siasa kila mahala ndio maana pia tunafail kila mahala maana fikra zetu ziko kwenye uchaguzi kwenye kila tunachokifanya.

Sijaona ulazima wa Simba day sijui Yanga day Rais kupiga simu, hii ni dalili yakutokuwa serious na mambo ya msingi na kujikita kwenye publicity ili kushinda uchaguzi.

Simba day sijui Yanga day muda woote anatajwa Rais kwa kupambwa kana kwamba ni jukwaa la kampeni za kisiasa.

Ilitosha kabisa Waziri wa michezo, na RC wa Dar es salaam ndio wawe wageni rasmi na hata kama VC atakuja basi awe tu kama mshabiki apewe Heshima yake jukwaa kuu.

Kifupi CCM wameshaanza kampeni kabla uchaguzi haujaanza na kwasasa kila mahala ni siasa za uchaguzi 2025.
 
Hamna kitu ambacho sio jukwaa kwa sasa .

1.Magazet
2.Polisi
3.Bunge
4.Mahajana
5 na sasa Soka
 
nchi ambayo watu wameuza nafsi zao kwa wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…