Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karia ni liJitu limoja likuuubwa sana.Watakoma kumtishia Karia.😂😂😂😂
Hivi,kwa akili yako nyembamba,mtamfanya nini Karia?Na kwa lipi hasa?Tff ya Karia inamambo ya ajabu sana walilazimisha ishu ya Morrison kwenda Simba kibabe na wanajua walichofanya na bahati nzuri taarifa zilipatikana kutoka miongoni mwao walifanya uo upuuzi, Mnachokitafuta mtakipata Kwa wakati, Bahati nzuri Interejensia ya klabu iko vizuri.
Watamshkaki kwa Magufuli amtumbue...Hivi,kwa akili yako nyembamba,mtamfanya nini Karia?Na kwa lipi hasa?
Utopolo wana changamoto vichwani mwao.😂😂😂😂Watamshkaki kwa Magufuli amtumbue...
Wameathirika kisaikolojia. Nadhani Joyce na Aziza Kei hawajui pa kuwapeleka. Wamesahau wana Yanga Princess....Utopolo wana changamoto vichwani mwao.😂😂😂😂
Muda ndio utaongea, Hakuna Sababu ya kutishana, Kila jambo na wakati wake.Hivi,kwa akili yako nyembamba,mtamfanya nini Karia?Na kwa lipi hasa?
Kwa nini mnaanzisha nyuzi za kutisha viongozi wa taasisi za taifa?Mnajua ni makosa?Utopolo mpelekwe kwa mganga wa jadi awatibu.Muda ndio utaongea, Hakuna Sababu ya kutishana, Kila jambo na wakati wake.
Na hii sio Kwa Karia tu ila Kwa wote walio husika kuanzia na ishu ya Morrison.
Hakuna Anaye tishwa, Tff wameshaota mapembe sasa muda wa kuyakata umekaribia sana kwa Afya ya mpira wa Tanzania.Kwa nini mnaanzisha nyuzi za kutisha viongozi wa taasisi za taifa?Mnajua ni makosa?Utopolo mpelekwe kwa mganga wa jadi awatibu.
😂😂😂😂😂Mkuu,kama weye ni redio kweli,basi itakuwa kuuuubwaaaa lakini bendi moja.Hakuna Anaye tishwa, Tff wameshaota mapembe sasa muda wa kuyakata umekaribia sana kwa Afya ya mpira wa Tanzania.
Kuna mpuuzi amekua akitoa adhabu na matamko hata Kabla kamati za Taasisi hazija Kaa, yaani anatoa matamko ya Taasisi ata weekend ata mihuri itakua ana lalanayo kwake kabla ya wajumbe wa kamati husika awajakutana.
Hii inaonyesha Kuna maamuzi ya kibinafsi kuliko Taasisi Sasa hatuwezi kuendelea na upuuzi kama uo.
Wanavyofanya uo utoto wanafikiri wako peke Yao kumbe kunawenzao wanavujisha taarifa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,kama weye ni redio kweli,basi itakuwa kuuuubwaaaa lakini bendi moja.
Fuateni sheria,taratibu,kanuni na miongozo.Msisahau heshima ni kitu cha bure ila ni cha muhimu kwa ustawi wa jamii.Mtoto jeuri ni wa kufinya sana hadi aimbe haleluya.Punguzeni mdomo,vichwa vitaumia.Wanavyofanya uo utoto wanafikiri wako peke Yao kumbe kunawenzao wanavujisha taarifa.
Wewe siyo muuaji.Sema upo sehem gan tukutafute
We boya kisinda alishasajiliwa muda tu na docs zake zilienda tff,siku ile Yanga ilimtangaza kama unavyoona sasa hivi inatangaza wachezaji Yanga princess while usajili ulishafungwaMambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
Aisha manula wewe unampeleka wapi maana siku hizi ana kawaida game na Yanga lazima ajifanye mgonjwaWameathirika kisaikolojia. Nadhani Joyce na Aziza Kei hawajui pa kuwapeleka. Wamesahau wana Yanga Princess....
Dakika za mwisho maana yake nini ? ilikua hairuhusiwi kufanya usijari tahere 31?Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out