TFF mnachokitafuta soon mtakipata

TFF mnachokitafuta soon mtakipata

Utaamini vipi yaani yule nguruwe pori ni kirusi sana kwenye tasnia ya michezo juzi tu hapa yanga princess walikuwa mpaka siku ya mwisho ya usajili hawajapeleka majina ya wachezaji wa yanga princess ila tff japo walichelewa wakakubaliwa kusajiliwa kwenye mfumo ili kuepuka lawama yaani mchelewe kuwasilisha jina lake halafu mje muilaumu tff kweli nguruwe pori amewamata.
 
Mambo kama haya ndio maana mtasubiri sana mpira kukua nchi hii yaani kila kitu mnaweka siasa tu!!za usimba na u yanga.Na shida yenu yanga msipokuwa makini huyo rais wenu atawafanya muonekane kama HAMNAZO!!Tatizo ana lileta yeye harafu kwa kuwa hamjitambui anajua kabisa, mtaanza kuwapa lawama TFF.Sheria iko wazi juu ya usajiri wa wachezaji wa kigeni kuwa wasizidi 12, Yanga hadi dirisha linafungwa walikuwa wangapi?yaani mnasajiri mchezaji mwingine wakati hao waliozidi bado hamjafanya uamuzi wa kuwaacha!!!?WAKATI MWINGINE KATAENI KUONEKANA MAZOMBI.
Aliyekwambia Yanga wamepeleka Tff majina 13 nani? Punguza Mihemko.
 
Ha
Hawafahamu kitu... Si viongozi hao hao walipeleka kesi ya Morrison CAS? Si haohao walifanya kazi na manara akiwa kafungiwa? Na si ndio haohao wanavunja kanuni kwa kupeleka majina 13 ya kigeni?
Nimekuja kujua viongozi na mashabiki wa yanga wanafanana akili zao nilipoona adhabu ile waliyopewa na tff kwa kuzidisha idadi ya substitution kwenye mechi ndo nikajua kweli ile team ya wahuni.
 
Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
Wewe hutaki Tanzania iwe ulaya?!!
 
Utopwinyo kama sub tu ziliwashinda hamjielewi mtakuja kuelewa hilo sakata lenu la bamuku ba clere,calorite na cocoa butter? Mnataka mlaumu watu bure ila mtakuja muumbuke vibaya sana kila siku muonewe nyie tu na kuna mengi mnakaushia tu nb vyura wengi wanahisi kama hela za Giesiem kama zao yani😂😂
 
We boya kisinda alishasajiliwa muda tu na docs zake zilienda tff,siku ile Yanga ilimtangaza kama unavyoona sasa hivi inatangaza wachezaji Yanga princess while usajili ulishafungwa
Tulia we Nanga hujui kitu
 
Sasa kama utaratibu haujafuatwa mnataka iweje???TATIZO YANGA HAMNA VIONGOZI PALE WAMEJAA WAHUNI WAHUNI TUU
 
Tff ya Karia inamambo ya ajabu sana walilazimisha ishu ya Morrison kwenda Simba kibabe na wanajua walichofanya na bahati nzuri taarifa zilipatikana kutoka miongoni mwao walifanya uo upuuzi, Mnachokitafuta mtakipata Kwa wakati, Bahati nzuri Interejensia ya klabu iko vizuri.
Mna nini cha kufanya mtakaria kulialia tu
 
Sisi yanga tutahamia Zanzibar,huwezi kushindana na mamlaka ukatoboa
 
Hakuna Anaye tishwa, Tff wameshaota mapembe sasa muda wa kuyakata umekaribia sana kwa Afya ya mpira wa Tanzania.
Kuna mpuuzi amekua akitoa adhabu na matamko hata Kabla kamati za Taasisi hazija Kaa, yaani anatoa matamko ya Taasisi ata weekend ata mihuri itakua ana lalanayo kwake kabla ya wajumbe wa kamati husika awajakutana.
Hii inaonyesha Kuna maamuzi ya kibinafsi kuliko Taasisi Sasa hatuwezi kuendelea na upuuzi kama uo.
Mtamfanya nini nyie washamba
 
We boya kisinda alishasajiliwa muda tu na docs zake zilienda tff,siku ile Yanga ilimtangaza kama unavyoona sasa hivi inatangaza wachezaji Yanga princess while usajili ulishafungwa
We boya Tff ilisajili wachezaji 12 ulitaka atoke nani ndo aingie kisinda
 
Kama ni kweli basi TFF wanatupeleka pabaya. Taarifa za awali ni kwamba Yanga walipeleka jina la Kisinda TFF toka August 30. Siku hizi mambo ni rahisi sana hata saa moja tu inatosha kukamilisha uhamisho na usajili wa mchezaji.

Hakuna namna unaweza kuustawisha mpira wa Tanzania huku ukiyakanyaga maslahi ya Yanga au Simba, vinginevyo na wao wataihujumu tu TFF.
Kwa wale ambao mlishawahi kuongoza taasisi mnajua, wakati mwingine unalazimika kushirikiana na hasimu au taasisi usiyo ipenda kwa sababu tu sheria na taratibu zinakutaka ufanye hivyo. Maadam Club anayo toka mchezaji walimruhusu kuondoka Club kubwa kama Yanga sidhano kama walishindwa kukidhi masharti ya usajili.

TFF wawe wanafanya mambo kama watu wazima na wasomi, visasi viiishie kuwa kati ya mtu na mtu siyo taasisi na taasisi kwa sababu siamini kama TFF wataiweza Yanga.
We yanga ilishapeleka majina 12 ya wachezaji wa kigeni Tff ulitaka imtoe nani
 
Tff ya Karia inamambo ya ajabu sana walilazimisha ishu ya Morrison kwenda Simba kibabe na wanajua walichofanya ...
na si TFF tu, hata FIFA walishiriki hii hujuma ya kumpeleka Morrison kule Simba, maana hata tulipokata rufaa, tukashindwa na ikaonekana kuwa TFF ilikuwa sahihi
 
Back
Top Bottom