TFF mnachokitafuta soon mtakipata

Hivi,kwa akili yako nyembamba,mtamfanya nini Karia?Na kwa lipi hasa?
 
Hivi,kwa akili yako nyembamba,mtamfanya nini Karia?Na kwa lipi hasa?
Muda ndio utaongea, Hakuna Sababu ya kutishana, Kila jambo na wakati wake.
Na hii sio Kwa Karia tu ila Kwa wote walio husika kuanzia na ishu ya Morrison.
 
Muda ndio utaongea, Hakuna Sababu ya kutishana, Kila jambo na wakati wake.
Na hii sio Kwa Karia tu ila Kwa wote walio husika kuanzia na ishu ya Morrison.
Kwa nini mnaanzisha nyuzi za kutisha viongozi wa taasisi za taifa?Mnajua ni makosa?Utopolo mpelekwe kwa mganga wa jadi awatibu.
 
Kwa nini mnaanzisha nyuzi za kutisha viongozi wa taasisi za taifa?Mnajua ni makosa?Utopolo mpelekwe kwa mganga wa jadi awatibu.
Hakuna Anaye tishwa, Tff wameshaota mapembe sasa muda wa kuyakata umekaribia sana kwa Afya ya mpira wa Tanzania.
Kuna mpuuzi amekua akitoa adhabu na matamko hata Kabla kamati za Taasisi hazija Kaa, yaani anatoa matamko ya Taasisi ata weekend ata mihuri itakua ana lalanayo kwake kabla ya wajumbe wa kamati husika awajakutana.
Hii inaonyesha Kuna maamuzi ya kibinafsi kuliko Taasisi Sasa hatuwezi kuendelea na upuuzi kama uo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu,kama weye ni redio kweli,basi itakuwa kuuuubwaaaa lakini bendi moja.
 
Wanavyofanya uo utoto wanafikiri wako peke Yao kumbe kunawenzao wanavujisha taarifa.
Fuateni sheria,taratibu,kanuni na miongozo.Msisahau heshima ni kitu cha bure ila ni cha muhimu kwa ustawi wa jamii.Mtoto jeuri ni wa kufinya sana hadi aimbe haleluya.Punguzeni mdomo,vichwa vitaumia.
 
Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
We boya kisinda alishasajiliwa muda tu na docs zake zilienda tff,siku ile Yanga ilimtangaza kama unavyoona sasa hivi inatangaza wachezaji Yanga princess while usajili ulishafungwa
 
Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
Dakika za mwisho maana yake nini ? ilikua hairuhusiwi kufanya usijari tahere 31?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…