Chadema mna wadudu vichwaniCCM imeharibu kila mahali, hao hawawezi kufanywa chochote sababu wako na kadi za CCM ndio maana wanaruhusu michezo kutumiwa na Wana siasa wa CCM
CCM mna wadudu mwili mzima, wewe sijui ni Mpare wa wapi, hakuna Mpare Ako na akili kama zako labda wa ujombaniChadema mna wadudu vichwani
CCM wote ni mataahira kabisaChadema mna wadudu vichwani
Sasa ww zumbukuku, mambo ya TFF na Yanga ccm inaingia vpCCM mna wadudu mwili mzima, wewe sijui ni Mpare wa wapi, hakuna Mpare Ako na akili kama zako labda wa ujombani
Unamuulizaje Zumbukuku? Unataka akujibuje? Watoto wa ujombani shida tupuSasa ww zumbukuku, mambo ya TFF na Yanga ccm inaingia vp
Yanga walishapeleka majina 12 , kama sheria inavyotaka, na yakatumwa CAF, leo mnataka tena kuingiza jina lingine kwa kanuni ipi?!hebu jitambueni acheni kufanywa wajingwa, haya TFF, wameshatoa barua kuelezea hilo, pambaneni na upuuzi wa viongozi wenu, kwani wanafanya mambo ki zamani, eti mna INJINIA!!(NDIO MAANA MANARA ALIWAAMBIA KUWA PALE YANGA WOTE NI KAMA HAMNAZO VILE ISIPOKUWA JK, NA SUNDAY MANARA TU)na ni kweli.Aliyekwambia Yanga wamepeleka Tff majina 13 nani? Punguza Mihemko.
Hao hawajitambui!!halafu sasa hayo majina yalishatumwa CAF, ili waidhinishwe, hivyo kwa sasa hakuna namna tena ya kufuta jina waingize lingine!!!We yanga ilishapeleka majina 12 ya wachezaji wa kigeni Tff ulitaka imtoe nani
Utopolo wengi ukiwaambia system hawaelewi maana ni manungayembe watupu,kichwani kumejaa kilichojaa kwenye nguo zao za ndaniyanga waliingiza ktk mfumo wachezaji 12 tayari, kutoa mcheaji katika mfumo mpaka uelekeze anaenda timu gani kwenye mfumo. mfumo umekataa wanaanza kulalamikia tff [emoji23][emoji23] ina maana karia alikuwa anakaa ktk system anabonyeza kitufe cha cancel kila yanga wakiingiza details za mchezaji.
HahahahhahhhhhhhhaaàaaaaaaaaaaaKwani ndiyo unajifunza kuandika uzi JF?Umerembesha uzi na mibendera utadhani biriani la uswazi!
Mara nyingi sisi WANAYANGA HUWA AKILI ZETU ZA KIPUMBAVU SANA. INASABABISHA WOTE TUONEKANE HATUNA AKILI KAMA MWANDISHI WA HII THREAD. SIJAJUA KWA NINI TUNAKUWA KAMA MWANAMKE AMBAYE HAJABAHATIKA KUPATA MTOTO NA NDO MKE WA KWANZA UZEE UMEMJIA.ANAKUWA MLALAMISHI SANA.Kama heading inavyojieleza. YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.
Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.
Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 .YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.
Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.
Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 SAA 5:59 usiku.
View attachment 2346142
🤣🤣🤣🤣 dah Yanga wawe na heshima kwanza kwa Karia na alafu mdai haki zenu.CCM imeharibu kila mahali, hao hawawezi kufanywa chochote sababu wako na kadi za CCM ndio maana wanaruhusu michezo kutumiwa na Wana siasa wa CCM
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mara nyingi sisi WANAYANGA HUWA AKILI ZETU ZA KIPUMBAVU SANA. INASABABISHA WOTE TUONEKANE HATUNA AKILI KAMA MWANDISHI WA HII THREAD. SIJAJUA KWA NINI TUNAKUWA KAMA MWANAMKE AMBAYE HAJABAHATIKA KUPATA MTOTO NA NDO MKE WA KWANZA UZEE UMEMJIA.ANAKUWA MLALAMISHI SANA.
Tasisi ya taifa au taktaka na wapumbavu tu wahuni wa nchi hii tff nayo unaweza sema ni taasisi ya taifa.?Kwa nini mnaanzisha nyuzi za kutisha viongozi wa taasisi za taifa?Mnajua ni makosa?Utopolo mpelekwe kwa mganga wa jadi awatibu.
Uzuri tumewarudishia mwanasheria wao msomiii kutoka GhanaAcheni ujinga na nyie kawashtakini CAF sasa.
Kwa hilo la morisoni umejichanganya . Ko hata CAS waliwahujumu Yanga? Au umeamua tu kuandika ili watu wajue kwamba nawe unajua kuandika?Tff ya Karia inamambo ya ajabu sana walilazimisha ishu ya Morrison kwenda Simba kibabe na wanajua walichofanya na bahati nzuri taarifa zilipatikana kutoka miongoni mwao walifanya uo upuuzi, Mnachokitafuta mtakipata Kwa wakati, Bahati nzuri Interejensia ya klabu iko vizuri.
Uko sahihi. Hawa watu ni chanzo cha kudumaa kwa soka la TZ . Hapa sasa wanajaribu kuwatoa Tff mchezoni ili Tff ianze kufuata wanachokitaka wao.Mi nadhani kimefika kipindi sasa Utopolo ihamie Burundi. Hamna namna tena