TFF mnachokitafuta soon mtakipata

Amka utajinyea . Achana na ndoto za mchana.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
We boya Tff ilisajili wachezaji 12 ulitaka atoke nani ndo aingie kisinda
Boya kama tff ndie ilisajili unajua ITC kule caf uwa anaomba nani,how caf impe kisinda ITC ina maana aliomba mwenyewe au Yanga ndio iliyoomba,halafu anaglia sheria za caf hapo we pimbi
 
1. Nataka ieleweke kuwa hakuna hakuna kitu kimefanyika nje ya system siku hizi haiwezekani hilo kabisa.

2. System zote TMS, FIFA Connect zinapokea mchezaji aliyeombewa usajili, suala la Idadi ni matakwa ya nchi husika katika ligi yake.

3. Baada ya Kuomba ni suala la TFF kutoa APPROVE kulingana na hitaji lenyewe.

4. Yanga wameomba katika System kuhusu Kisinda kama ilivyo mtu mwingine yeyote anaweza kuomba na halina Idadi hata 100 unaweza kuomba.

5. Baada ya kuomba TFF hawawezi ku APPROVE Jina la Kisinda sababu tayari Yanga walishaomba kabla na kupewa APPROVE katika Majina 12 kulingana na kanuni zilivyo na kutoa Leseni hivyo Automatically haiwezekani kupata APPROVE ya 13.

6. YANGA Baada ya Kukosa APPROVE toka TFF katika TMS System ndio wakaandika Barua kwenda TFF kuomba ufafanuzi kuhusu suala hilo.

7. TFF wamejibu Barua ya Yanga ya kuombwa ufafanuzi tu ndio maana kuna barua.

8. Kuhusu ITC hili ni suala tofauti kabisa haiuhusiani na usajili, kuomba ITC unaweza kuomba kama Club kupitia TFF kwa wachezaji hata 50 ni kwa mujibu wa mikataba yako tu Mfano TP Mazembe au Mamelod ina Foreigners wengi sana wenye ITC ila hawapo katika usajili hapa Nchini Yanga msimu uliopita ilipata ITC ya mchezaji Toka Mozambique anaitwa Jimmy Ukonde na alicheza mechi za majaribio ila hawakumuombea Usajili pia sasa Yanga ina Yacouba ana ITC ila hayupo katika Usajili ni vitu Tofauti kabisa ITC na Usajili bali ili uweze kupata Usajili kwa mchezaji anaetoka nje lazima uwe na ITC ndio aweze kucheza.

Hivyo kuomba ITC ni jambo moja na kuomba usajili ni jambo lingine.

9. Katika Usajili wowote ule lazima uweke na Medical Examinations Report ndip unapata Leseni ina maana mwanzo Yanga walidanganya?

10. Yanga Kumtumia au kutomtumia mchezaji ni uamuzi wa kufuata Taratibu tu kama wangeweza kufanya Transfer ya mchezaji baada ya kuombwa na Timu ingine siku hiyo hiyo na baadae kuomba usajili wa Kisinda ina maana wangeweza kuwa na Logic kidogo ya kusikilizwa katika Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji wao Wameomba wakati tayari wanajua Hawawezi kuwa APPROVE.

TUFUATE TARATIBU
 

Somo zuri lakini shida iko hapa
 

Attachments

  • JamiiForums192108216.jpeg
    46.7 KB · Views: 2
Jamii forum is home of great thinker wewe umegeuza jukwaa hili home of compleners and dummy ,tafuta sababu na Iko wazi ,wewe sio mtoto wa kuelezwa Kila kitu .
 
Kwanzamtu mwenyewemsomali anatualibiampila wetu mjingahuyu
 
Mfano katika wachezaji niliowaingiza kwenye system 12 mmoja akafariki na dirisha liko wazi Ina maana siruhusiwi kufanya mabadiliko?
 
Jamii forum is home of great thinker wewe umegeuza jukwaa hili home of compleners and dummy ,tafuta sababu na Iko wazi ,wewe sio mtoto wa kuelezwa Kila kitu .
Karia huu mwaka atoboi akiwa madarakani uwezi kushindana na wananchi ukashinda..
 
Na
Wewe ulikwenda kupeleka jina la mchezaji huyo kweli!?
 
Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
Ulaya kupitia mfumo wa usajili hata Kama imebaki dakika moja wanasajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…