mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Dah! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Watamshkaki kwa Magufuli amtumbue...
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Watamshkaki kwa Magufuli amtumbue...
Dah!!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Watamshkaki kwa Magufuli amtumbue...
Amka utajinyea . Achana na ndoto za mchana.Hakuna Anaye tishwa, Tff wameshaota mapembe sasa muda wa kuyakata umekaribia sana kwa Afya ya mpira wa Tanzania.
Kuna mpuuzi amekua akitoa adhabu na matamko hata Kabla kamati za Taasisi hazija Kaa, yaani anatoa matamko ya Taasisi ata weekend ata mihuri itakua ana lalanayo kwake kabla ya wajumbe wa kamati husika awajakutana.
Hii inaonyesha Kuna maamuzi ya kibinafsi kuliko Taasisi Sasa hatuwezi kuendelea na upuuzi kama uo.
Mtulie kwanza na mfuate sheria,taratibu,kanuni na miongozo mkuu!Mtapigwa makonzi ya utosini hadi mbweke safari hii.😂😂😂😂Tasisi ya taifa au taktaka na wapumbavu tu wahuni wa nchi hii tff nayo unaweza sema ni taasisi ya taifa.?
Boya kama tff ndie ilisajili unajua ITC kule caf uwa anaomba nani,how caf impe kisinda ITC ina maana aliomba mwenyewe au Yanga ndio iliyoomba,halafu anaglia sheria za caf hapo we pimbiWe boya Tff ilisajili wachezaji 12 ulitaka atoke nani ndo aingie kisinda
Punguzeni kudeka basi. Joyce na Aziza Kei wanawafundisha ujingatunakomaa hapa hapa ili kombe muendelee kulisikia kwenye radio
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
1. Nataka ieleweke kuwa hakuna hakuna kitu kimefanyika nje ya system siku hizi haiwezekani hilo kabisa.
2. System zote TMS, FIFA Connect zinapokea mchezaji aliyeombewa usajili, suala la Idadi ni matakwa ya nchi husika katika ligi yake.
3. Baada ya Kuomba ni suala la TFF kutoa APPROVE kulingana na hitaji lenyewe.
4. Yanga wameomba katika System kuhusu Kisinda kama ilivyo mtu mwingine yeyote anaweza kuomba na halina Idadi hata 100 unaweza kuomba.
5. Baada ya kuomba TFF hawawezi ku APPROVE Jina la Kisinda sababu tayari Yanga walishaomba kabla na kupewa APPROVE katika Majina 12 kulingana na kanuni zilivyo na kutoa Leseni hivyo Automatically haiwezekani kupata APPROVE ya 13.
6. YANGA Baada ya Kukosa APPROVE toka TFF katika TMS System ndio wakaandika Barua kwenda TFF kuomba ufafanuzi kuhusu suala hilo.
7. TFF wamejibu Barua ya Yanga ya kuombwa ufafanuzi tu ndio maana kuna barua.
8. Kuhusu ITC hili ni suala tofauti kabisa haiuhusiani na usajili, kuomba ITC unaweza kuomba kama Club kupitia TFF kwa wachezaji hata 50 ni kwa mujibu wa mikataba yako tu Mfano TP Mazembe au Mamelod ina Foreigners wengi sana wenye ITC ila hawapo katika usajili hapa Nchini Yanga msimu uliopita ilipata ITC ya mchezaji Toka Mozambique anaitwa Jimmy Ukonde na alicheza mechi za majaribio ila hawakumuombea Usajili pia sasa Yanga ina Yacouba ana ITC ila hayupo katika Usajili ni vitu Tofauti kabisa ITC na Usajili bali ili uweze kupata Usajili kwa mchezaji anaetoka nje lazima uwe na ITC ndio aweze kucheza.
Hivyo kuomba ITC ni jambo moja na kuomba usajili ni jambo lingine.
9. Katika Usajili wowote ule lazima uweke na Medical Examinations Report ndip unapata Leseni ina maana mwanzo Yanga walidanganya?
10. Yanga Kumtumia au kutomtumia mchezaji ni uamuzi wa kufuata Taratibu tu kama wangeweza kufanya Transfer ya mchezaji baada ya kuombwa na Timu ingine siku hiyo hiyo na baadae kuomba usajili wa Kisinda ina maana wangeweza kuwa na Logic kidogo ya kusikilizwa katika Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji wao Wameomba wakati tayari wanajua Hawawezi kuwa APPROVE.
TUFUATE TARATIBU
Ya wapokeaji..Na mkipokea timu ngeni na kuwakirimu aibu huwa ni ya nani na nani?
Jamii forum is home of great thinker wewe umegeuza jukwaa hili home of compleners and dummy ,tafuta sababu na Iko wazi ,wewe sio mtoto wa kuelezwa Kila kitu .Kama heading inavyojieleza. YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.
Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.
Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 .YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.
Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.
Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 SAA 5:59 usiku.
View attachment 2346142
Mfano katika wachezaji niliowaingiza kwenye system 12 mmoja akafariki na dirisha liko wazi Ina maana siruhusiwi kufanya mabadiliko?1. Nataka ieleweke kuwa hakuna hakuna kitu kimefanyika nje ya system siku hizi haiwezekani hilo kabisa.
2. System zote TMS, FIFA Connect zinapokea mchezaji aliyeombewa usajili, suala la Idadi ni matakwa ya nchi husika katika ligi yake.
3. Baada ya Kuomba ni suala la TFF kutoa APPROVE kulingana na hitaji lenyewe.
4. Yanga wameomba katika System kuhusu Kisinda kama ilivyo mtu mwingine yeyote anaweza kuomba na halina Idadi hata 100 unaweza kuomba.
5. Baada ya kuomba TFF hawawezi ku APPROVE Jina la Kisinda sababu tayari Yanga walishaomba kabla na kupewa APPROVE katika Majina 12 kulingana na kanuni zilivyo na kutoa Leseni hivyo Automatically haiwezekani kupata APPROVE ya 13.
6. YANGA Baada ya Kukosa APPROVE toka TFF katika TMS System ndio wakaandika Barua kwenda TFF kuomba ufafanuzi kuhusu suala hilo.
7. TFF wamejibu Barua ya Yanga ya kuombwa ufafanuzi tu ndio maana kuna barua.
8. Kuhusu ITC hili ni suala tofauti kabisa haiuhusiani na usajili, kuomba ITC unaweza kuomba kama Club kupitia TFF kwa wachezaji hata 50 ni kwa mujibu wa mikataba yako tu Mfano TP Mazembe au Mamelod ina Foreigners wengi sana wenye ITC ila hawapo katika usajili hapa Nchini Yanga msimu uliopita ilipata ITC ya mchezaji Toka Mozambique anaitwa Jimmy Ukonde na alicheza mechi za majaribio ila hawakumuombea Usajili pia sasa Yanga ina Yacouba ana ITC ila hayupo katika Usajili ni vitu Tofauti kabisa ITC na Usajili bali ili uweze kupata Usajili kwa mchezaji anaetoka nje lazima uwe na ITC ndio aweze kucheza.
Hivyo kuomba ITC ni jambo moja na kuomba usajili ni jambo lingine.
9. Katika Usajili wowote ule lazima uweke na Medical Examinations Report ndip unapata Leseni ina maana mwanzo Yanga walidanganya?
10. Yanga Kumtumia au kutomtumia mchezaji ni uamuzi wa kufuata Taratibu tu kama wangeweza kufanya Transfer ya mchezaji baada ya kuombwa na Timu ingine siku hiyo hiyo na baadae kuomba usajili wa Kisinda ina maana wangeweza kuwa na Logic kidogo ya kusikilizwa katika Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji wao Wameomba wakati tayari wanajua Hawawezi kuwa APPROVE.
TUFUATE TARATIBU
Karia huu mwaka atoboi akiwa madarakani uwezi kushindana na wananchi ukashinda..Jamii forum is home of great thinker wewe umegeuza jukwaa hili home of compleners and dummy ,tafuta sababu na Iko wazi ,wewe sio mtoto wa kuelezwa Kila kitu .
Wewe ulikwenda kupeleka jina la mchezaji huyo kweli!?Marekebisho yapi unayoyaongelea wewe mchezaji ITC anayo na tulipeleka majina masaa7 before dirisha kufungwa na TFF wakaridhia kuwa hakuna makosa kila kitu kipo sawa wamesubiri dirisha limefungwa ndio wanamkataa kisinda ..Trust me youre days is numbered.
Ulaya kupitia mfumo wa usajili hata Kama imebaki dakika moja wanasajiliMambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out