TFF mnachokitafuta soon mtakipata

TFF mnachokitafuta soon mtakipata

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Kama heading inavyojieleza. YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.

Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.

Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 .YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.

Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 SAA 5:59 usiku.

1662356917087.jpg
 
CCM imeharibu kila mahali, hao hawawezi kufanywa chochote sababu wako na kadi za CCM ndio maana wanaruhusu michezo kutumiwa na Wana siasa wa CCM
Hii ni dhuluma ya wazi kabisa sijajua lengo lao ni nini? Hivi yanga ikifanya vizuri kimataifa sifa si zinakuwa za nchi wanafanya aya makusudi kwa kinachoendelea huko jikoni kwa viongozi wa yanga kama ili likipita hivi hivi Karia huu mwaka hamalizi madarakani.
 
Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
 
Na ana uhakika upi kwamba hao viongozi wao walifanikiwa kutuma hilo jina kwa vigezo na wakati?
 
Hii ni dhuluma ya wazi kabisa sijajua lengo lao ni nini? ivi yanga ikifanya vizuri kimataifa sifa si zinakuwa za nchi wanafanya aya makusudi kwa kinachoendelea uko jikoni kwa viongozi wa yanga kama ili likipita ivi ivi karia huu mwaka hamalizi madarakani.
Na mkipokea timu ngeni na kuwakirimu aibu huwa ni ya nani na nani?
 
Kama heading inavyojieleza. YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.

Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.

Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 .YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.

Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.

Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 SAA 5:59 usiku.

View attachment 2346142
Kwani ndiyo unajifunza kuandika uzi JF?Umerembesha uzi na mibendera utadhani biriani la uswazi!
 
Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
Kama unashambikia chandimu endelea, hapa linajadiliwa soka la wakubwa si la watoto wenzio. Umeona Auba kasajiliwa na Chelsea mwezi wa Saba? Alonso kaenda Bacra August?
 
Waziri wa michezo mwenyewe yuko busy na mitala ya Bi too🤣🤣🤣
 
Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
Tff ya Karia inamambo ya ajabu sana walilazimisha ishu ya Morrison kwenda Simba kibabe na wanajua walichofanya na bahati nzuri taarifa zilipatikana kutoka miongoni mwao walifanya uo upuuzi, Mnachokitafuta mtakipata Kwa wakati, Bahati nzuri Interejensia ya klabu iko vizuri.
 
Na ana uhakika upi kwamba hao viongozi wao walifanikiwa kutuma hilo jina kwa vigezo na wakati?
Ndio mana nimesema vigezo vilikuwa havijatimia tukawarudisha wakarekebishe matokeo yake mpaka wanarudi tena wanakuta wameachwa na gari la mshahara. Ila yanga🤣 eti liingizeni tu hilo jina tukiwa tunaenda kurekebisha hivi vipengere nyoo mnataka mumuingize nani mkenge
 
Kama heading inavyojieleza. YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.

Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.

Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 .YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.

Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.

Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 SAA 5:59 usiku.

View attachment 2346142
Mi nadhani kimefika kipindi sasa Utopolo ihamie Burundi. Hamna namna tena
 
yanga waliingiza ktk mfumo wachezaji 12 tayari, kutoa mcheaji katika mfumo mpaka uelekeze anaenda timu gani kwenye mfumo. mfumo umekataa wanaanza kulalamikia tff [emoji23][emoji23] ina maana karia alikuwa anakaa ktk system anabonyeza kitufe cha cancel kila yanga wakiingiza details za mchezaji.
 
Mchezaji alishakua accepted na mfumo Sasa hatujui watakuja na Sababu gani
 
Back
Top Bottom