TFF Mnajitekenya, Sote Tunajua Hamuwezi Kumfanya Chochote Rais Wa Yanga Eng. Hersi Said.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ni wajinga na wapuuzi wanaweza kuamini kuwa mikwara ta barua yenu inaweza kuzaa matunda.

Kabla Haji Manara hajaalikwa kama MC wa kisherehesha Wiki Ya Wananchi walikaa mezani na waasheria wao kupitia sheria zote zinazo mzuia Manara kushiriki.

Na wanafahamu vyema mapungufu ya sheria zenu za kiduwanzi ndio maana wamemualika kama mshehereshaji.

Kuna tofauti kubwa kati ya kuvunja sheria na kupindisha sheria.
View attachment 2316772View attachment 2316771
 
Hili nakubaliana na wewe, lakini pia responsible officer wa kesi kama hii kisheria hawezi kuwa Rais wa Yanga. Wawe wanajipa muda wa kusoma sheria kabla ya kukurupuka. Nilikuwa namheshimu Kidau lakini naye taratibu anaanza kudemka.
 
Lakini adhabu ilisema Manara asijihusishe na “any sports related activity” sasa sidhani kama kuna pahala pamepinda… Help me understand.
 
Ni wajinga na wapuuzi wanaweza kuamini kuwa mikwara ta barua yenu inaweza kuzaa matunda.

Kabla Haji Manara hajaalikwa kama MC wa kisherehesha Wiki Ya Wananchi walikaa mezani na waasheria wao kupitia sheria zote zinazo mzuia Manara kushiriki.

Na wanafahamu vyema mapungufu ya sheria zenu za kiduwanzi ndio maana wamemualika kama mshehereshaji.

Kuna tofauti kubwa kati ya kuvunja sheria na kupindisha sheria.
View attachment 2316772View attachment 2316771
Sasa yanga wana mwana sheria nikumbushe kesi waliyoshinda yanga kupitia hyo mwanasheria wake maana zote wameangukia pua:–

Kesi ya Morrison chali na faini juu

Caf waliwaambia msiingize mashabiki kutokana na Corona mkaingiza mkapigwa faini

Mmepigwa faini uturuki mliweka oda ya hotel mkasitisha wakati mda umeshapita

Huyo mwanasheria wa yangu anafanya kazi gani au ndo kuandaa mikataba feki kama ya nabi na Morrison.
 
Hili nakubaliana na wewe, lakini pia responsible officer wa kesi kama hii kisheria hawezi kuwa Rais wa Yanga. Wawe wanajipa muda wa kusoma sheria kabla ya kukurupuka. Nilikuwa namheshimu Kidau lakini naye taratibu anaanza kudemka.
Angalia huyu mpumbavu Maluuni.

Sheria gani unasema hawezi kuwajibika Engineer, hivi unadhani Kidao asijue sheria ambayo ndo mkuu wa sekretarieti ya TFF, ila wewe خَواصِر wa Haji ujue.

Baada ya hukumu ya Haji, Engineer Hersi Said aliandikiwa barua na kamati, kama Rais wa Yanga SC kumuwekea msisitizo kuwa klabu lazima inaheshimu uamuzi huo, sasa anawezaje asihusike au kuwajibika kwa hili..!

Hiyo ni taarifa kutoka TFF...! Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga FaizaFoxy Voice..!
 
Wenyew tff wamesema walimwandikia barua huyo fundi mchundo kutoka utopolon...sasa unataka asihusike vp wkt ndo kapewa barua ya onyo dhidi ya zungu pori
 
Huyo uliyemtaja ndio kopo mkuu palle.
 
Huwa unaandika thread zako kishabiki sana, una ule ushabiki wa mtaani umekujaa kichwani, wewe endelea kuishi kwa kukariri tu.
Ichomoe polepole master. Kumbuka kuwa haijapakwa mate!
 
Wenyew tff wamesema walimwandikia barua huyo fundi mchundo kutoka utopolon...sasa unataka asihusike vp wkt ndo kapewa barua ya onyo dhidi ya zungu pori
ONYO ni sawa.

Lakini hakuna sheria iliyo vunjwa.

Bali sheria imepindishwa tu.

Kumpa mtu ONYO ni dhahiri kuwa huna la kumshtaki.
 
Angalia huyu mpumbavu Maluuni.

Sheria gani unasema hawezi kuwajibika Engineer, hivi unadhani Kidao asijue sheria ambayo ndo mkuu wa sekretarieti ya TFF, ila wewe خَواصِر wa Haji ujue.

Baada ya hukumu ya Haji, Engineer Hersi Said aliandikiwa barua na kamati, kama Rais wa Yanga SC kumuwekea msisitizo kuwa klabu lazima inaheshimu uamuzi huo, sasa anawezaje asihusike au kuwajibika kwa hili..!

Hiyo ni taarifa kutoka TFF...! Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga FaizaFoxy Voice..!
Sasa ile lilikuwa tamasha la hersi au la yanga kama taasisi?Ina maana wao wanamshtaki hersi Kama hersi na sio yanga Kama taasisi!! Taasisi iliyomualika manara Kama mc ni yanga na sio Hersi tuelewane vizuri apo, barua inamtaja hersi sijui Hersi ndo alimualika manara au vipi, Wao wangeishtaki yanga Kama klabu na sio hersi
 
Chezeni mpira

Acheni mipashoooo

Nchi sahv imejaa watu wa mipasho kila kona

Ova
 
Back
Top Bottom