Lakini adhabu ilisema Manara asijihusishe na “any sports related activity” sasa sidhani kama kuna pahala pamepinda… Help me understand.Hili nakubaliana na wewe, lakini pia responsible officer wa kesi kama hii kisheria hawezi kuwa Rais wa Yanga. Wawe wanajipa muda wa kusoma sheria kabla ya kukurupuka. Nilikuwa namheshimu Kidau lakini naye taratibu anaanza kudemka.
Sasa yanga wana mwana sheria nikumbushe kesi waliyoshinda yanga kupitia hyo mwanasheria wake maana zote wameangukia pua:–Ni wajinga na wapuuzi wanaweza kuamini kuwa mikwara ta barua yenu inaweza kuzaa matunda.
Kabla Haji Manara hajaalikwa kama MC wa kisherehesha Wiki Ya Wananchi walikaa mezani na waasheria wao kupitia sheria zote zinazo mzuia Manara kushiriki.
Na wanafahamu vyema mapungufu ya sheria zenu za kiduwanzi ndio maana wamemualika kama mshehereshaji.
Kuna tofauti kubwa kati ya kuvunja sheria na kupindisha sheria.
View attachment 2316772View attachment 2316771
Na ukute mwanasheria, yeye ni sheria zake tu za darasani, hajui hata mpira wala sheria za mpira, hajui FIFA tuna nchi yetu na sheria zetu? Yanga the bush lawyers!!!!Kama walikaa na wanasheria kupanga Basi hao wana Sheria ni vilaza sana
Angalia huyu mpumbavu Maluuni.Hili nakubaliana na wewe, lakini pia responsible officer wa kesi kama hii kisheria hawezi kuwa Rais wa Yanga. Wawe wanajipa muda wa kusoma sheria kabla ya kukurupuka. Nilikuwa namheshimu Kidau lakini naye taratibu anaanza kudemka.
Huyo uliyemtaja ndio kopo mkuu palle.Hili nakubaliana na wewe, lakini pia responsible officer wa kesi kama hii kisheria hawezi kuwa Rais wa Yanga. Wawe wanajipa muda wa kusoma sheria kabla ya kukurupuka. Nilikuwa namheshimu Kidau lakini naye taratibu anaanza kudemka.
ONYO ni sawa.Wenyew tff wamesema walimwandikia barua huyo fundi mchundo kutoka utopolon...sasa unataka asihusike vp wkt ndo kapewa barua ya onyo dhidi ya zungu pori
Sasa ile lilikuwa tamasha la hersi au la yanga kama taasisi?Ina maana wao wanamshtaki hersi Kama hersi na sio yanga Kama taasisi!! Taasisi iliyomualika manara Kama mc ni yanga na sio Hersi tuelewane vizuri apo, barua inamtaja hersi sijui Hersi ndo alimualika manara au vipi, Wao wangeishtaki yanga Kama klabu na sio hersiAngalia huyu mpumbavu Maluuni.
Sheria gani unasema hawezi kuwajibika Engineer, hivi unadhani Kidao asijue sheria ambayo ndo mkuu wa sekretarieti ya TFF, ila wewe خَواصِر wa Haji ujue.
Baada ya hukumu ya Haji, Engineer Hersi Said aliandikiwa barua na kamati, kama Rais wa Yanga SC kumuwekea msisitizo kuwa klabu lazima inaheshimu uamuzi huo, sasa anawezaje asihusike au kuwajibika kwa hili..!
Hiyo ni taarifa kutoka TFF...! Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga FaizaFoxy Voice..!