The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Wewe sijawahi kukujua mimi wala post zako zaidi ya hii.Hili jambo mlianzisha wenyewe wakati yanga wanashiriki lazima mle maharishi yenu hakuna kuyatema
Nakumbuka ukiwemo wewe hapo ulikuwa unapayuka sana kipindi kile?
Nadhani nilikufananishaWewe sijawahi kukujua mimi wala post zako zaidi ya hii.
Nayo ni utumbo tuuu umeandika hapa.
Hayo alisema manara msemaji wenu Au umesahau
Kama hawa tulio kutana nao leo wanagubu aisee.Wao ni wamama wastaafu kwa sasa wameshazeeka si unajua wazee walivyo na nongwa...
Nadhani nilikufananisha
Sidhani kama nakufahamu utakuwa sio wewe mimi ndiyo nakuona leo hapa nadhani huwa unashinda huko jukwaa la mahusiano huku hupawezi maana unaonekana mweupe sana kwenye soka
Mtaweweseka sana kwa hofu ya kukosa Ubingwa! Kengold hao wanaja!I salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana
Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..!
Kama umefuatilia hii ni mechi zaidi ta 12 ila kila mechi basi kunakuwa na makosa ya kibinadamu yanayo wafavour hawa simba. Mfano mechi na Tabora ilikuwa ni kichekesho kikubwa sana mpaka unaona aibu.
Kuna jamaa wa simba pembeni yangu yeye mwenyewe hajufurahishwa na ushindi huo wa "gusa weka bahasha tushinde"
Kwanini kila simba wanapocheza basi TFF na bodi ya ligi huweka marefa weak na walafi wa Rushwa?
Tusipoangalia basi ligi yetu itashuka mpaka nafasi ya 20 huko sababu simba ndiyo wanataka kuididimiza ligi ishuke kuwa ya kawaida matopeni tena.
Its Pancho
Daaaah....we dogo umenichosha kabisa...kweli njaa mwanamalevya. Dogo umechange sana. Haina shida lakini.Umejiunga jf lini mkuu? Hebu acha utoto mimi sio huyo unayemfananisha wote humu wananijua sasa nashangaa wewe huou upuuzi umeutolea wapi?
Nipo JWTZ makutupora sasa umenijulia wapi mkuu? Acha kunichafua sawa?
Mnajua kulalamika nyieI salute you kinsmen