TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

Una matatizo ya akili? Umelewa? Au umenifananisha?
Aiseeee...hii dunia ina watu wa ajabu sana wewe pancho dullar wa kunijibu hivi? Sawa sina akili. Nimelewa. Unadhani nitabishana nawe? Siwezi bishana nawe. Nakusitiri wewe mwananchi mwenzangu.ila haitapita week. Nitakukumbusha
 
Mmeanza kuitana Hamna akili 🤣🤣
 
Mmeanza kuitana Hamna akili 🤣🤣
We acha tu. Dogo kavurugwa hacheki na wowote. Anaturushia hata sisi ndugu zake mawe na matope. Hapo katakuwa kana njaa kapo jangwani pale kwenye jengo. Kenyewe kanapambana na simba tu 🤣🤣🤣🤣
 
I salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana

Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..!

Kama umefuatilia hii ni mechi zaidi ta 12 ila kila mechi basi kunakuwa na makosa ya kibinadamu yanayo wafavour hawa simba. Mfano mechi na Tabora ilikuwa ni kichekesho kikubwa sana mpaka unaona aibu.

Kuna jamaa wa simba pembeni yangu yeye mwenyewe hajufurahishwa na ushindi huo wa "gusa weka bahasha tushinde"

Kwanini kila simba wanapocheza basi TFF na bodi ya ligi huweka marefa weak na walafi wa Rushwa?

Tusipoangalia basi ligi yetu itashuka mpaka nafasi ya 20 huko sababu simba ndiyo wanataka kuididimiza ligi ishuke kuwa ya kawaida matopeni tena.

Its Pancho
Wanaobebwa hawapo kwenye mashindano ya kimataifa ,kelele hizi ni wivu tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
pancho dullar
Umejiunga jf lini mkuu? Hebu acha utoto mimi sio huyo unayemfananisha wote humu wananijua sasa nashangaa wewe huou upuuzi umeutolea wapi?

Nipo JWTZ makutupora sasa umenijulia wapi mkuu? Acha kunichafua sawa?
 
We acha tu. Dogo kavurugwa hacheki na wowote. Anaturushia hata sisi ndugu zake mawe na matope. Hapo katakuwa kana njaa kapo jangwani pale kwenye jengo. Kenyewe kanapambana na simba tu 🤣🤣🤣🤣
Nitakuripoti naona sasa umejificha kwenye kichaka cha uananchi

Mimi niko Dodoma huko dar jangwani nimefika lini? Acha utoto sawa mimi sio mwenzako wala hunijui sikujui yaani ndiyo nimekuona leo na wala sisi hatuna taarifa za wewe kuwa mwananchi hatukujui

Nakupa onyo
 
Back
Top Bottom