TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

Arajiga ameitwa CAF kuchezesha
Kwahiyo na CAF nao wanakula Rushwa?

Akili ndogo huumiza mwili binti sawa?
Si nyie akili mbili fc mnalalamika huko kuwa refa yule yule aliechezesha mechi ya simba na tabora ndo aliechezesha Simba na JKT...ndo muone sasa na nyie mechi zenu nani amechezesha...
 
Ile Penati Arajiga aliyowapa eti Dube amechezewa faulo mnaikumbuka au tuwakumbushe...
Dodoma..
 
  • Nzuri
Reactions: Tui

Arajiga ana shida gani sasa? Au tangu tulipowanyandua 5 akiwa refa ndiyo mnamchukia?

Sababu amenyooka hapendi kona kona a spade is a spade not a big spoon arajiga anaamini hivyo sio kama marefa wenu wanaochaguliwa sijui huwa bodi ya ligi wa awaokota wapi? Wananuka njaa njaa tu
 
Mwamba ngoma huvutia upande wake.....
Pelekeni shauri mbele msikilizwe
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ile Penati Arajiga aliyowapa eti Dube amechezewa faulo mnaikumbuka au tuwakumbushe...
Dodoma..
Acha kuchekesha sawa?

Kwahiyo tuanze kuhesabu makosa ya kibinadamu hapa ya simba si tutakesha jamani server zitajaa?

Simba wana penati kama penati ngapi ukiachana na magoli ya mchongo papatu papatu?
 
Mwamba ngoma huvutia upande wake.....
Pelekeni shauri mbele msikilizwe
Sisi hatuna noma tunasubiri March 8 tuwakande tena kama kawaida my wetu halafu msingizie marefa
 
Acha kuchekesha sawa?

Kwahiyo tuanze kuhesabu makosa ya kibinadamu hapa ya simba si tutakesha jamani server zitajaa?

Simba wana penati kama penati ngapi ukiachana na magoli ya mchongo papatu papatu?
Bwana mdg tulia dawa ikuingie...mbona badooo? Utalia na kubweka sana msimu huu...
Bado tunajenga timu ndo kwanza tuko asilimia 58 vilio vishaanza tukifika 100???
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Bwana mdg tulia dawa ikuingie...mbona badooo? Utalia na kubweka sana msimu huu...
Bado tunajenga timu ndo kwanza tuko asilimia 58 vilio vishaanza tukifika 100???
March 8 sio mbali tutakuwepo hapa chaguaeni na refa wenu mnayemuaminia kabisa arajiga si mmemkataa?

Adios
 
Back
Top Bottom