Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww nakwambia hiviiii hutamfunga mnyamaaa...Beba dawa zako za pressure
Kuazimia laZima
March 8 sio mbali tutakuwepo hapa chaguaeni na refa wenu mnayemuaminia kabisa arajiga si mmemkataa?
Adios
Member ametoa ushuhuda kuwa Huwa una pressure maana ulizimia mahalaWw nakwambia hiviiii hutamfunga mnyamaaa...
Mm dawa za presha za nini mwili wangu ni wa mazoezi ww mrundi...
Hahaha
U Simba na U Yanga ni tatizo katika mpira wa TanzaniaI salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana
Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..!
Kama umefuatilia hii ni mechi zaidi ta 12 ila kila mechi basi kunakuwa na makosa ya kibinadamu yanayo wafavour hawa simba. Mfano mechi na Tabora ilikuwa ni kichekesho kikubwa sana mpaka unaona aibu.
Kuna jamaa wa simba pembeni yangu yeye mwenyewe hajufurahishwa na ushindi huo wa "gusa weka bahasha tushinde"
Kwanini kila simba wanapocheza basi TFF na bodi ya ligi huweka marefa weak na walafi wa Rushwa?
Tusipoangalia basi ligi yetu itashuka mpaka nafasi ya 20 huko sababu simba ndiyo wanataka kuididimiza ligi ishuke kuwa ya kawaida matopeni tena.
Its Pancho
Msiniletee nuksi ya magonjwa ya kizee at this age...mkomee wewe na pancha wako...Member ametoa ushuhuda kuwa Huwa una pressure maana ulizimia mahala
Sasa chonde chonde trh jipange vyema, zaidi ongea na Daktari wako zaidi sana andika wosia mapema
Huko umbumbumbuni hakuna vijanaMsiniletee nuksi ya magonjwa ya kizee at this age...mkomee wewe na pancha wako...
Unajifanya umesahau hapa dodoma wakati nikikuwepo siku hiyo ulipozimia pale tukiposhindilia mjegeje wa 5?Rainbow ya wapi hyo ww kitoto?
Mm na bar au pub wapi na wapi...
Ambulance zitakuwa na majukumu mengine kuhudumia wagonjwa Amana hospital 🏥Unajifanya umesahau hapa dodoma wakati nikikuwepo siku hiyo ulipozimia pale tukiposhindilia mjegeje wa 5?
Sasa utazimia sana safari hii nenda na dawa zako😂
Halafu hiyo ya kuniita kitoto wakati mimi bamdogo wako kuwa na adabu wewe mshangazi
Makosa ya kibinadamu ni mengi sana uliona hiiI salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana
Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..!
Kama umefuatilia hii ni mechi zaidi ta 12 ila kila mechi basi kunakuwa na makosa ya kibinadamu yanayo wafavour hawa simba. Mfano mechi na Tabora ilikuwa ni kichekesho kikubwa sana mpaka unaona aibu.
Kuna jamaa wa simba pembeni yangu yeye mwenyewe hajufurahishwa na ushindi huo wa "gusa weka bahasha tushinde"
Kwanini kila simba wanapocheza basi TFF na bodi ya ligi huweka marefa weak na walafi wa Rushwa?
Tusipoangalia basi ligi yetu itashuka mpaka nafasi ya 20 huko sababu simba ndiyo wanataka kuididimiza ligi ishuke kuwa ya kawaida matopeni tena.
Its Pancho
I salute you kinsmen

Dogo unakaa humu daily kufuatilia habari za mikia kisha unakuja kuomba omba usaidiwe. Tafuta kazi omba connection. Usikae siku nzima unahangaika na mikia tu. Wenzako tunatengeneza pesa. Kisha unakuja unasema we yanga mwenzetu tukuoe hata ya bfast. Tafuta kazi hayo mambo ya mpira hayatakusaidia humu.I salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana
Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..!
Kama umefuatilia hii ni mechi zaidi ta 12 ila kila mechi basi kunakuwa na makosa ya kibinadamu yanayo wafavour hawa simba. Mfano mechi na Tabora ilikuwa ni kichekesho kikubwa sana mpaka unaona aibu.
Kuna jamaa wa simba pembeni yangu yeye mwenyewe hajufurahishwa na ushindi huo wa "gusa weka bahasha tushinde"
Kwanini kila simba wanapocheza basi TFF na bodi ya ligi huweka marefa weak na walafi wa Rushwa?
Tusipoangalia basi ligi yetu itashuka mpaka nafasi ya 20 huko sababu simba ndiyo wanataka kuididimiza ligi ishuke kuwa ya kawaida matopeni tena.
Its Pancho
I salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana
Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..!
Kama umefuatilia hii ni mechi zaidi ta 12 ila kila mechi basi kunakuwa na makosa ya kibinadamu yanayo wafavour hawa simba. Mfano mechi na Tabora ilikuwa ni kichekesho kikubwa sana mpaka unaona aibu.
Kuna jamaa wa simba pembeni yangu yeye mwenyewe hajufurahishwa na ushindi huo wa "gusa weka bahasha tushinde"
Kwanini kila simba wanapocheza basi TFF na bodi ya ligi huweka marefa weak na walafi wa Rushwa?
Tusipoangalia basi ligi yetu itashuka mpaka nafasi ya 20 huko sababu simba ndiyo wanataka kuididimiza ligi ishuke kuwa ya kawaida matopeni tena.
Its Pancho
Vimekupalia umeona umuite shoga yakoNaona unautaka wenzako wamekaa kimya wewe unautaka
Hivi ngara23 hawa jamaa mara ya mwisho walishinda lini?
Una matatizo ya akili? Umelewa? Au umenifananisha?Dogo unakaa humu daily kufuatilia habari za mikia kisha unakuja kuomba omba usaidiwe. Tafuta kazi omba connection. Usikae siku nzima unahangaika na mikia tu. Wenzako tunatengeneza pesa. Kisha unakuja unasema we yanga mwenzetu tukuoe hata ya bfast. Tafuta kazi hayo mambo ya mpira hayatakusaidia humu.
Umemaliza,Bado ile Penalty ya Yanga na Tabora😂😂