TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

Huko umbumbumbuni hakuna vijana
Wazee wote wako utopoloni
Unajifanya umesahau hapa dodoma wakati nikikuwepo siku hiyo ulipozimia pale tukiposhindilia mjegeje wa 5?

Sasa utazimia sana safari hii nenda na dawa zako😂

Halafu hiyo ya kuniita kitoto wakati mimi bamdogo wako kuwa na adabu wewe mshangazi
Wewe ni kiben ten tuu...ba wadogo wana adabu...
Halafu rainbow siendagi wamejaa mashoga....
 
Yanga Nawafananisha na Single mama wa kizanzibari Muna gubu Sana. Kufungwa afungwe Tabora kuumia muumie nyie. Sikuzile mume suruu na waharabu munasema simba ndiyo wamesababisha.
 
UNAAKILI TIMAMU KWELI????

UNAKAZA FUVU KISA UPUMBAVU WA SIMBA NA YANGA.

PAMBANA KUIOKOA FAMILIA YAKO NA WIMBI LA UMASIKINI.
 
1000235890.jpg
 
Jikite kwenye hoja na ushahidi upo

Jikite kwenye mada wewe kigagula wa kolo

Hujui kwamba unabebwa wazi au ndio vile umeamua kunyamaza tu sababu kipenda roho hula nyama mbichi eeh
Huo uwezo wa kujenga hoja watautoa wapi! Unafikiri Rage hakufikiri kwa kina pale alipowaita mbumbumbu? Hao wanajua kutukana tu.
 
Huo uwezo wa kujenga hoja watautoa wapi! Unafikiri Rage hakufikiri kwa kina pale alipowaita mbumbumbu? Hao wanajua kutukana tu.
Yaani mazuzu huwa kama wana laana kutoka kwa mzee Rage sasa hata mmoja aliyejikita kwenye mada
 
Kuna waarabu wenye akili wanacheza mashindano yenu ya UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama
Nazingumzia waarabu hawa wenu wajuzi MC algers.
Au waliwaotea 😝😝
 
Back
Top Bottom