kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko.
TFF mtueleze nini kimejificha au mnamuogopa kwa kuwa ni yanga hebu tendeni haki au tukamshitaki polisi kwa shambulio la maungoni tunataka majibu na ufafanuzi kabla ya kipenga cha mechi ya leo kupulizwa ikiwezekana afungiwe kwa utovu wa nidhamu na kuna yule kochi mweusi sana pia ana tabia za hovyo kabisa.