Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Adhabu kwa Kosa la kukufungu mara 4 auWahuni hawawezi kuachwa lazima sheria na adhabu ziwahusu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adhabu kwa Kosa la kukufungu mara 4 auWahuni hawawezi kuachwa lazima sheria na adhabu ziwahusu!
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni lile jinaYanga wenye akili ni wawili tu maneno ya manara nimenukuu!
Manara na yule kocha walikuwa sahihi hawakukosea!Rage alikuwa sahihi kuwaiteni lile jina
Ongezea na rage masta na kipigo mara 4 lazima jazba ikupandeManara na yule kocha walikuwa sahihi hawakukosea!
Adhabu kwa wahuni ndio haki yao!Adhabu kwa Kosa la kukufungu mara 4 au
Ni sawa na wewe kukaa masaa 24 nafasi ya kwanzaAdhabu kwa wahuni ndio haki yao!
Sina jazba wewe ndio unaeandika kwa kutetemeka kwa hasira huu mchezo hautaki hasira!Ongezea na rage masta na kipigo mara 4 lazima jazba ikupande
Nipo nafasi ya kumi hiyo ya kwanza ni hizo timu zenu za wahuni!Ni sawa na wewe kukaa masaa 24 nafasi ya kwanza
Duuh!Mke wa Kigogo wa TFF anafanya Kazi GSM
The headed empty sets, ukiona tu siku flani Yanga SC wana mechi lazima uwashwe washwe kuitafutia makosa, mbona klabu lako la Makolokolo hujawahi kulielezea jinsi linavyobebwabebwa na Marefa kushinda mechi zake?Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko Tff mtueleze nini kimejificha au mnamuogopa kwa kuwa ni yanga hebu tendeni haki au tukamshitaki polisi kwa shambulio la maungoni tunataka majibu na ufafanuzi kabla ya kipenga cha mechi ya leo kupulizwa ikiwezekana afungiwe kwa utovu wa nidhamu na kuna yule kochi mweusi sana pia ana tabia za hovyo kabisa.
Mbona tukio la Hamza kumfanyia madhambi Dube bila kadi nyekundu ulikaa kimya na tff ikakaa kimya??Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko Tff mtueleze nini kimejificha au mnamuogopa kwa kuwa ni yanga hebu tendeni haki au tukamshitaki polisi kwa shambulio la maungoni tunataka majibu na ufafanuzi kabla ya kipenga cha mechi ya leo kupulizwa ikiwezekana afungiwe kwa utovu wa nidhamu na kuna yule kochi mweusi sana pia ana tabia za hovyo kabisa.
Kila nikiangalia ulichoandika unaonyesha unasumbuliwa na msongo wa mawazo kutokana na magonjwa ya zinaa na vidonda vya tumbo ushauri wa daktari koroga pilipili unywe huu mchezo hautaki hasira wahuni hawaruhusiwi michezoni!The headed empty sets, ukiona tu siku flani Yanga SC wana mechi lazima uwashwe washwe kuitafutia makosa, mbona klabu lako la Makolokolo hujawahi kulielezea jinsi linavyobebwabebwa na Marefa kushinda mechi zake?
Najua la bacca kumkanyaga kibu bila kadi!Mbona tukio la Hamza kumfanyia madhambi Dube bila kadi nyekundu ulikaa kimya na tff ikakaa kimya??
Mkuu inaonekana una mengi mazuri sana ya kuyazungumzia kuhusu hiyo timu lakini muda umekuwa mchache dah!Kesi ya yanga A na B zote n yanga hapo hamna kesi
Video ya kuhusu nini?!Video iko wapi
Utapata tabu sana mkuuNipo nafasi ya kumi hiyo ya kwanza ni hizo timu zenu za wahuni!
Hasira za Nini mie wakati wewe umenipa mara 4 hadi unaleta maelezo mengi kuhusu masta gamondi 😃😀😀Sina jazba wewe ndio unaeandika kwa kutetemeka kwa hasira huu mchezo hautaki hasira!
Upeo wako umeishia hapo!Hasira za Nini mie wakati wewe umenipa mara 4 hadi unaleta maelezo mengi kuhusu masta gamondi