kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #61
Tabu utapata wewe!Utapata tabu sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabu utapata wewe!Utapata tabu sana mkuu
Kila nikiangalia ulichoandika unaonyesha unasumbuliwa na msongo wa mawazo kutokana na magonjwa ya zinaa na vidonda vya tumbo ushauri wa daktari koroga pilipili unywe huu mchezo hautaki hasira wahuni hawaruhusiwi michezoni!
Wewe ndio unateseka mwaka wa 4 sasaTabu utapata wewe!
Kama wako tu ulivyobakia kwa masta gamondi kumpiga mtu au ulitaka akupige weweUpeo wako umeishia hapo!
Hizi akili huwa mnatumia viungo gani kuchakata?Anayepaswa kulalamika ni aliyefanyiwa kitendo. Kama yeye amelala TFF haiwezi kuamka.
Haki ni yako, unapaswa kuitetea wewe mwenyewe.
Utopolo, utamjua tu!Wakueleze wewe kama nani muhuni ni wewe uliekaaa miaka 4 hauna kitu
Tulia wewe kolo
Walivyo na mihemko kochi wao aliwahi kusema yakiwa jukwaani yanabweka tu kama mbwa!
Mkuu funguka ututendei haki!Tff chini ya jemedari simba wa vita walace karia imeshawaagiza kamati wamchukulie hatua kali huyo mvuta bangi na mhuni wa argentina....kamati inasubiri mechi na makosa yawe mengi mengi kidogo ndipo watatoa kwa pamoja mkeka.
Mnafiki huwa hajifichi hata ukimuweka ndani ya chupa atatoa hata kidoleBodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko.
TFF mtueleze nini kimejificha au mnamuogopa kwa kuwa ni yanga hebu tendeni haki au tukamshitaki polisi kwa shambulio la maungoni tunataka majibu na ufafanuzi kabla ya kipenga cha mechi ya leo kupulizwa ikiwezekana afungiwe kwa utovu wa nidhamu na kuna yule kochi mweusi sana pia ana tabia za hovyo kabisa.
Unataka uthibitishiwe nini na mpira hauchezwi chumbani!Mnafiki huwa hajifichi hata ukimuweka ndani ya chupa atatoa hata kidole
Unaweza kulithibitisha hili au ni ýaleyale ya jukwaa la siasa kuzushia watu?