TFF, mpaka leo hii tukio la Gamondi kumpiga kiongozi wa Singida Black Stars hakuna hatua zozote wala uchunguzi. Kuna nini?

Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko Tff mtueleze nini kimejificha au mnamuogopa kwa kuwa ni yanga hebu tendeni haki au tukamshitaki polisi kwa shambulio la maungoni tunataka majibu na ufafanuzi kabla ya kipenga cha mechi ya leo kupulizwa ikiwezekana afungiwe kwa utovu wa nidhamu na kuna yule kochi mweusi sana pia ana tabia za hovyo kabisa.
The headed empty sets, ukiona tu siku flani Yanga SC wana mechi lazima uwashwe washwe kuitafutia makosa, mbona klabu lako la Makolokolo hujawahi kulielezea jinsi linavyobebwabebwa na Marefa kushinda mechi zake?
 
Mbona tukio la Hamza kumfanyia madhambi Dube bila kadi nyekundu ulikaa kimya na tff ikakaa kimya??
 
The headed empty sets, ukiona tu siku flani Yanga SC wana mechi lazima uwashwe washwe kuitafutia makosa, mbona klabu lako la Makolokolo hujawahi kulielezea jinsi linavyobebwabebwa na Marefa kushinda mechi zake?
Kila nikiangalia ulichoandika unaonyesha unasumbuliwa na msongo wa mawazo kutokana na magonjwa ya zinaa na vidonda vya tumbo ushauri wa daktari koroga pilipili unywe huu mchezo hautaki hasira wahuni hawaruhusiwi michezoni!
 
Back
Top Bottom