kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hizo Timu zenu za Kisiasa hatua huchukuliwa kama wamefanyia wenyewe Kwa wenyewe au Timu ndogo zimewafanyia Timu kubwa.Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko Tff mtueleze nini kimejificha au mnamuogopa kwa kuwa ni yanga hebu tendeni haki au tukamshitaki polisi kwa shambulio la maungoni tunataka majibu na ufafanuzi kabla ya kipenga cha mechi ya leo kupulizwa ikiwezekana afungiwe kwa utovu wa nidhamu na kuna yule kochi mweusi sana pia ana tabia za hovyo kabisa.
Wazo zuri lakini hatuwezi kaa kimya uhuni ukiendelea kutamalaq pili hapa hakuna timu kubwa ila kuna timu kongwe basi!Hizo Timu zenu za Kisiasa hatua huchukuliwa kama wamefanyia wenyewe Kwa wenyewe au Timu ndogo zimewafanyia Timu kubwa.
Kimsingi Timu ndogo ni wajinga ni Bora wawe na Ligi Yao harafu Simba ,Yanga na Azam nao wawe na Ligi Yao
Wanalea wahuni!TFF wanaogopa lawama.
Hoja yangu tff watueleze hatua walizochukua kuhusu wahuni wanaopigana uwanjani sheria inafanya kazi kwa wote au wengine haziwahusu!Hoja yako ni nini punguza husda masta
Nenda azam tv watakupatia!leta video
Wakueleze wewe kama nani muhuni ni wewe uliekaaa miaka 4 hauna kituHoja yangu tff watueleze hatua walizochukua kuhusu wahuni wanaopigana uwanjani sheria inafanya kazi kwa wote au wengine haziwahusu!
Pole sana dk chache kabla ya mechi utaujua uhuni wangu!Wakueleze wewe kama nani muhuni ni wewe uliekaaa miaka 4 hauna kitu
Sawa na utapata tabu mnooPole sana dk chache kabla ya mechi utaujua uhuni wangu!
Makolo yanadhani Gamondi akifungiwa wao ndio watachukua ubingwa.Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko Tff mtueleze nini kimejificha au mnamuogopa kwa kuwa ni yanga hebu tendeni haki au tukamshitaki polisi kwa shambulio la maungoni tunataka majibu na ufafanuzi kabla ya kipenga cha mechi ya leo kupulizwa ikiwezekana afungiwe kwa utovu wa nidhamu na kuna yule kochi mweusi sana pia ana tabia za hovyo kabisa.
Wadau wa michezo wanayo haki kuikumbusha tff watu wanatoa pesa kuangalia burudani makampuni yanatoa pesa kudhamini timu sasa wasiruhusu wahuni kugeuza soka ulingo wa masumbwi!Anayepaswa kulalamika ni aliyefanyiwa kitendo. Kama yeye amelala TFF haiwezi kuamka.
Haki ni yako, unapaswa kuitetea wewe mwenyewe.
Mimi au wewe maana roho limekusokoka hapo mpaka unatoka na maneno bila ya sababu ili hali kadi huna yanga hawakujui!Sawa na utapata tabu mnoo
Nyie pia safari hii ubingwa hamupatiMakolo yanadhani Gamondi akifungiwa wao ndio watachukua ubingwa.
Hakuna kolo hapa ila hatutaki wahuni viwanjani kama fifa inavyoagiza!Makolo yanadhani Gamondi akifungiwa wao ndio watachukua ubingwa.
Hakuna tukio lolote la Gamond ku mpiga mtu yoyote bahati nzuri Ile tuner ya kuingia vyumbani Kuna CCTV Camera.Hakuna kolo hapa ila hatutaki wahuni viwanjani kama fifa inavyoagiza!
Wewe ndio imekuuma hadi jazba na husda imekupanda kisa masta gamondiMimi au wewe maana roho limekusokoka hapo mpaka unatoka na maneno bila ya sababu ili hali kadi huna yanga hawakujui!