TFF, mpaka leo hii tukio la Gamondi kumpiga kiongozi wa Singida Black Stars hakuna hatua zozote wala uchunguzi. Kuna nini?

Kila nikiangalia ulichoandika unaonyesha unasumbuliwa na msongo wa mawazo kutokana na magonjwa ya zinaa na vidonda vya tumbo ushauri wa daktari koroga pilipili unywe huu mchezo hautaki hasira wahuni hawaruhusiwi michezoni!
 
Tff chini ya jemedari simba wa vita walace karia imeshawaagiza kamati wamchukulie hatua kali huyo mvuta bangi na mhuni wa argentina....kamati inasubiri mechi na makosa yawe mengi mengi kidogo ndipo watatoa kwa pamoja mkeka.
 
Mkuu funguka ututendei haki!
 
Mnafiki huwa hajifichi hata ukimuweka ndani ya chupa atatoa hata kidole
Unaweza kulithibitisha hili au ni ýaleyale ya jukwaa la siasa kuzushia watu?
 
Mnafiki huwa hajifichi hata ukimuweka ndani ya chupa atatoa hata kidole
Unaweza kulithibitisha hili au ni ýaleyale ya jukwaa la siasa kuzushia watu?
Unataka uthibitishiwe nini na mpira hauchezwi chumbani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…