Nikumbushe ni lini yanga imecheza na team ya kigeni hapa.Katafute pesa acha kufuatilia maisha ya watu. Yani mtu kajipostia mambo yake humo wewe unatokwa mishipa ya shingo. Mbona usianze kuchoma nyumba za mashabiki wa Simba wanaopokea wachezaji wa timu pinzani zinazokuja kucheza na Yanga? Tukiwa uraiani tuna jeuri nyingi, nenda kachome nyumba ndio utajua kazi ya Jeshi la Polisi.
Kwa Manji mlitumia Makonda na ujinga wake kumwandama Manji, sasa mambo ni tofauti, huo mwanya wa wahuni haupo tena.Nikumbushe ni lini yanga imecheza na team ya kigeni hapa.
Pili Hilo punguani lenu ndio lilifanya match ya asec tuwatimue. Bado hamuelewi.
Yatawakuteni Tena kama ya manji. Ataenda lupango muda so mrefu
we KOLO tulia, usitulazimishe kushangilia mataputapu FC aka makolo fc!!unampangia mwanaume mwenzio timu ya kushangilia ukiwa kama nani?Simba SC Ina peperusha pendera ya Tanzania kimataifa kupitia shirikisho.
Kwa Hilo Simba inafanya Kwa niaba ya taifa na watanzania wote.
Kitendo cha hersi Said kuipongeza berkane sio TU kulidharirisha taifa Bali kulivua nguo taifa.
Je huyo MTU ni mtanzania? Wengi wanasema ana damu ya somalia. Hakuna asiyejua somalia ikoje Leo.
Sasa huyo nyau wenu gsm atasababisha watu kuchomeana nyumba.
Nasema haya sababu Toka juzi hatuoni sio serikali Wala TFF waliomuonya huyo punguani.
Simba SC itakuwepo na haitakufa ila yeye anaweza kufa.
Tuna hasira sana kwa alichokifanya.
Tanzania kwanza!!!!!!
Kwanini unasema mwanaume mwenzie, umejuaje?we KOLO tulia, usitulazimishe kushangilia mataputapu FC aka makolo fc!!unampangia mwanaume mwenzio timu ya kushangilia ukiwa kama nani?
Usitupangie chakupenda.. Binafsi Simba hata ingecheza na Timu gani siwezi kuishabikia au kuiunga Mkono.. mambo hz zipo popote pale Duniani hasa kwenye Timu mahasim kama hzi..Simba SC Ina peperusha pendera ya Tanzania kimataifa kupitia shirikisho.
Kwa Hilo Simba inafanya Kwa niaba ya taifa na watanzania wote.
Kitendo cha hersi Said kuipongeza berkane sio TU kulidharirisha taifa Bali kulivua nguo taifa.
Je huyo MTU ni mtanzania? Wengi wanasema ana damu ya somalia. Hakuna asiyejua somalia ikoje Leo.
Sasa huyo nyau wenu gsm atasababisha watu kuchomeana nyumba.
Nasema haya sababu Toka juzi hatuoni sio serikali Wala TFF waliomuonya huyo punguani.
Simba SC itakuwepo na haitakufa ila yeye anaweza kufa.
Tuna hasira sana kwa alichokifanya.
Tanzania kwanza!!!!!!
Simba SC Ina peperusha bendera ya Tanzania kimataifa kupitia shirikisho.
Kwa Hilo Simba inafanya Kwa niaba ya taifa na Watanzania wote.
Kitendo cha Hersi Said kuipongeza Berkane sio TU kulidharirisha taifa Bali kulivua nguo taifa.
Je huyo MTU ni Mtanzania? Wengi wanasema ana damu ya somalia. Hakuna asiyejua somalia ikoje Leo.
Sasa huyo nyau wenu gsm atasababisha watu kuchomeana nyumba.
Nasema haya sababu Toka juzi hatuoni sio serikali Wala TFF waliomuonya huyo punguani.
Simba SC itakuwepo na haitakufa ila yeye anaweza kufa.
Tuna hasira sana kwa alichokifanya.
Tanzania kwanza!!!!!!
Kwani unamlazimisha aishabikie Simba wa mchangani? Hivi umekosa vitu vya kuposti yaani ameposti kwa kutumia simu/pc yake halafu unataka kumfundisha nini aandike kuhusu timu lenu bovu.................Simba SC Ina peperusha bendera ya Tanzania kimataifa kupitia shirikisho.
Kwa Hilo Simba inafanya Kwa niaba ya taifa na Watanzania wote.
Kitendo cha Hersi Said kuipongeza Berkane sio TU kulidharirisha taifa Bali kulivua nguo taifa.
Je huyo MTU ni Mtanzania? Wengi wanasema ana damu ya somalia. Hakuna asiyejua somalia ikoje Leo.
Sasa huyo nyau wenu gsm atasababisha watu kuchomeana nyumba.
Nasema haya sababu Toka juzi hatuoni sio serikali Wala TFF waliomuonya huyo punguani.
Simba SC itakuwepo na haitakufa ila yeye anaweza kufa.
Tuna hasira sana kwa alichokifanya.
Tanzania kwanza!!!!!!
Magufuli aliulazimishaItakua bado una utoto mwingi.uzalendo haulazimishwi.
na usaliti hupigwa ngetwaItakua bado una utoto mwingi.uzalendo haulazimishwi.