nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Simba SC Ina peperusha bendera ya Tanzania kimataifa kupitia shirikisho.
Kwa Hilo Simba inafanya Kwa niaba ya taifa na Watanzania wote.
Kitendo cha Hersi Said kuipongeza Berkane sio TU kulidharirisha taifa Bali kulivua nguo taifa.
Je huyo MTU ni Mtanzania? Wengi wanasema ana damu ya somalia. Hakuna asiyejua somalia ikoje Leo.
Sasa huyo nyau wenu gsm atasababisha watu kuchomeana nyumba.
Nasema haya sababu Toka juzi hatuoni sio serikali Wala TFF waliomuonya huyo punguani.
Simba SC itakuwepo na haitakufa ila yeye anaweza kufa.
Tuna hasira sana kwa alichokifanya.
Tanzania kwanza!!!!!!