TFF mtuache tumalize uchaguzi mkuu wa rais

TFF mtuache tumalize uchaguzi mkuu wa rais

sioni uhusiani wowote hapo,
andaeni timu yenu tukutane uwanjani kama ratiba inavyosema.
 
Simba ndio timu iliyofungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timuyoyote katika jamhuri ya muungano ya Tanzania. Tarehe 18 tukijaaliwa simba wanakwenda kufungwa tena na haitakua ishu kubwa bali ni mwendelezo.
 
Siku tatu baada ya mechi ya Tarehe 18, kuna mfadhili mmoja atakua kwenye wakati ngumu na mwishoe atasuusa Kama alivyo Susa baada ya mechi na mtibwa kule Zanzibar. Ni Jambo la muda tu.
Mlisema hivyo hivyo mkapigwa 4G
 
Simba ndio timu iliyofungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timuyoyote katika jamhuri ya muungano ya Tanzania. Tarehe 18 tukijaaliwa simba wanakwenda kufungwa tena na haitakua ishu kubwa bali ni mwendelezo.
Tumeletewa historia 😁
 
TFF msije kusema hamukuambiwa, Mechi ya Simba na Yanga kuchezwa tarehe 18/10/2020 siku 9 kabla ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika tarehe 28/10/2020 hapa kuna jambo litazua jambo!

Machungu yanayotokana na hizo Mechi za watani yana athari zinazodumu kwenye jamii kwa kipindi fulani baada ya mechi. Kuna Uharibifu wa Mali, Kuna viffo vya msutuko, Kuna malalamiko ya Upendeleo wa timu fulani, Kuna maazimio ya Kutimuana, Kuna Kususiana, Kuna kuona aibu na kufanya mtu akae ndani tu kwa aibu ya kufungwa nk nk nk nk.

Kwa muktadha huu na kwa kuzingatia Uwepo wa Mechi za Kimataifa za Kirafiki ni wazi kabisa kwamba TFF hawanabudi kubadilisha tarehe ya Mechi husika ili kupisha Zoezi la Uchaguzi Mkuu. Kuna kundi linaweza kususa au kununa likajitokeza kwa Uchache kwenye Uchaguzi Mkuu.

Nawasilisha.
Yaani usiende kupiga kura kisa timu yako imefungwa siku kumi zilizopita?
 
Ahsante TFF kwa kusikia kilio chetu na Hatimaye Mechi ni 7/11/2020.
Hongereni kwa kuwa wasikivu
 
Hii ndo maana halisi ya great thinker ....huu uzi niliusomaa nikawa nataman tff wapitie hapaa
 
Nyie mnapaswa kujua kuwa binti akiolewa na kuingizwa chumbani kwa mumewe basi hana jinsi tena...jipurukusheni kadri mnavyoweza lakini 18 tunaenda kumuenzi Mkapa
Mkuu umenifurahisha. Wapige kelele na mbwembwe zao mwisho wa siku lazima wavue nguo na ndoa iendelee.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mkuuu Njooo huku ulambe matapishi yako, JF haijawahi kumwacha mtu salama
Sasa mbona kama unanionea! Kichwa cha habari kinataka TFF iahirishe hiyo mechi iki kupisha uchaguzi!

Mimi nikasema hiyo sababu haina mashiko! Nikitaka ratiba ya hiyo mechi ibakie pale pale! Baadae viongozi wa Mwamedi fc wakaenda huko TFF kwa siri kuomba mechi iahirishwe kwa kigezo cha wachezaji kuchelewa kurudi!!

Kwangu mimi hii sababu ndiyo haina mashiko kabisa maana inaonesha wazi Mwamedi fc inaigwaya timu ya Wananchi! Na hata Mwenyekiti wa zamani Mwamedi fc amekiri hivyo jana kwenye kipindi cha michezo cha mshike mshike cha Azam tv.

Hivyo hakuna matapishi hapo mzee baba! Siku ukiona ninajisifia kuwa shabiki wa Mwamedi fc au kujisifia kuipenda CCm na Magufuli kutoka moyoni, hapo ujue nimekua mnafiki kama yule kaka yangu P niliyemkua namkubali sana hapo kabla.
 
Mkuu Siyo kwamba Wananchi ndio wameomba Pooo ili mwalimu mpya ajaye ajipange vizuri na kikosi kazi chake ifikapo hiyo Novemba.
Kwa mtazamo wangu timu Mwamedi naona gari tayari limewaka tofauti na Timu Wananchi ambao Dereva aliyepo ni Deiwaka na hivyo hana mpango kamili wa Kazi.
 
Back
Top Bottom