Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Watatafuta mdhamini usijali,mbona hata hapa bongo kuna vitimu vidogovidogo vinakujaga navyo si kwamba huko kwao ni timu kubwa,Nyinyi lipuli kama hamna nauli ya ndege ya kutoka mbeya, mtaweza wa fuata raja cassablanka Morocco uko.
Mwenzenu mtibwa alikosaga nauli
Nanyi mnataka mkibeba Kombe
Mtutie aibu tena