TFF Muionee huruma Lipuli FC

TFF Muionee huruma Lipuli FC

Nyinyi lipuli kama hamna nauli ya ndege ya kutoka mbeya, mtaweza wa fuata raja cassablanka Morocco uko.

Mwenzenu mtibwa alikosaga nauli
Nanyi mnataka mkibeba Kombe
Mtutie aibu tena
Watatafuta mdhamini usijali,mbona hata hapa bongo kuna vitimu vidogovidogo vinakujaga navyo si kwamba huko kwao ni timu kubwa,
 
Lipuli ni timu yangu ya nyumbani....tujiandae tuu kurekebisha Uwanja wetu wa samora na kuwasiliana na TFF waupeleke CAF waje wauoague Kama ukikidhi viwango mwakani tuutumie kwa mashindano ya Kimataifa maana hamna namna Azam lazima ifungwe Wana paluhengo hatuna masihara na tumu ndogo ndogo za juzi juzi Kama Azam
 
Back
Top Bottom